Natamani kuwa mtu wa kusaidia jamii

Natamani kuwa mtu wa kusaidia jamii

Joined
Oct 30, 2016
Posts
60
Reaction score
36
WanaJF, mimi ni mwanafunzi wa chuo cha madini Dodoma. Japo nasomea mambo ya madini ila natamani sana kusaidia jamii na kutoa elimu juu ya mambo ya kijamii kama ukimwi, malaria, mazingira, ndoa za utoton nk.

Hivo nawaomba kama mtu ana kundi au taasisi yoyote inayojishughulisha na mambo kati ya hayo anitafute kwa 0768281337.
 
Fungua NGO yako, vinginevyo lengo lako halitatimia kuna figisu figisu nyingi sana.
 
Habari wana JF natafuta mfadhili wa kimasomo kwa kipindi cha mwaka mmoja tu.
 
Vip ulisha acha kunywa kinywaji cha swiss?
 
Wanaohiraji ni wengi, ungeeleza kwanini usaidiwe? Maana unaowaomba nao unakuta wanapigiwa kelele na ndugu zao kila siku ila hawana namna ya kuwasaidia kwa sababu ya ugumu wa maisha.
 
utani huo mkuu,akutafte mwenye nia? mi nkajua wew,ndo una nia kusaidiwa.aya wasubir
 
Back
Top Bottom