WASOMI WETU MNATAKIWA MZUNGUMZE HIVI.

Nchi ina Katiba,ina Sheria,ina Vyombo vya Ulinzi na Usalama,haijawahi Kupitia Civil War:Na Uchaguzi unafanyika kila baada ya Miaka 5,Hakuna Kupinda hapo.Na Mwanadam yeyote,asiyependa Kufuatia sheria za Nchi,asije kudanganya eti ananyoosha Nchi.Mungu hawezi Kukupa mamlaka ya Kunyoosha Nchi,hata ingekuwa Sadam au Hitler.Utaiacha Nchi kama ulivyoikuta!!
 
Back
Top Bottom