Recent content by edi-kusini

  1. E

    JamiiForums Tanzania wanaume msiseme sikusema: siku ya kwanza atakuja na "andawea mbili"

    Umeniona mimi nn? Umoumoooo,dah!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

    Nimekkbali,hapo umejasirika,uzoefu ni kujua n kupambana na mambo mengi. Usisahau kusali.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona picha hii, nimeanza kuwa na wasiwasi na mambo ya SAPRAIZI

    Watu wa sai-kolo-jia,wanadai wanawake wana cheat xana kbla y kuolewa kw 7bu hawana uhakika nani atawaoa,na wanaume wana cheat xana baada ya kuoa wakiamini kwmba nyumbani kuna ulinzi ngoja waendelee kuonyesha ulijali wao kw wengine.
  4. E

    JamiiForums Tanzania mhh nimechoka wala sijafika mbali?

    Waswahili(wahenga) cio wapumbavu hata kidogo. Wana-uzoefu mzito wa muda mrefu kuhusu masuala ya maisha.Walisema,fimbo ya mbali hai-ui nyoka. Ulivyoumbwa utavutiwa na kukitumia kile kilichokaribu yako.Matumiz y cmu na email yko limited kwny mambo fulani tu.Kwa 7bu unadai umechoka,mwambie...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mchumba Amenibadilikia ( sheria zinazidi kila siku),, nifanyeje?

    ushauri cio kitu kibaya,ila cio lazima kuufuata.Kuacha kitu kw ghafla cio healthy,kila mtu anamazoea yake,cio rahisi kuacha ulichozoea hasa kw miaka kadhaa.Alikuwa wp cku zote? Au ali-assume wewe mpita njia tu?Kama umekunywa kw aka zaidi y cta,na kuacha utaacha kw aka kadhaa.The body z...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kwa uchangiaji huu wa mada kutoka kwa wadada wa jf nyumba ndogo ni ngumu kuzitokomeza

    mdau kaibua bifu,angalieni lisije geuka mtwara.
  7. E

    JamiiForums Tanzania school

    mdogo wangu nilimpeleka chuo akiwa around 21,na mungu alimsaidia. Imani mbele ndugu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Daladala zaenguliwa D'Salaam

    Hiki ni kpnd cha mpito(transition period),tuvumilie kije,by mwakani tuta-settle tu.Wahusika wasichoke kupokea ushauri na maoni.Mungu ibariki TZ.
  9. E

    JamiiForums Tanzania Unaujua ukweli kuhusu hili...?!

    Ujue nn,kiushindani inabidi uanze kwa kufanana kidogo na mshindani wako bila kuvnj sheria.Ndio maana azam,azania.Kisaikolojia mteja atanunua yyte akiamini zinafanana kwa ubora.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Pc Jafari kauawa na majambazi mbeya,wana Jf kimyaaa!

    Jamani inatosha,naamini ndugu yetu ashatusoma sasa.Tumsamehe,au vp?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mwanahalisi lashinda kesi.

    Kusemasema sana sio dili.TUmepewa chanzo,tukifuatilie tujue kw kina.Daima ucpuuze tetesi,zibebe zifanyie kazi kama una nia,kama huna nia TULIA.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Niko sawa au ni mawazo yangu ya kishetwain??

    faaaaaake pastoooooor
  13. E

    JamiiForums Tanzania Dillema . . .

    Ni bahati sana kumpata mtu aliyekamilika,na nature inaonyesha hata ukimpata usumbufu utakuwa sehemu ya maisha yako. Hayo ndo matatizo ya kuonjaonja,uamuzi wa mwisho unao mwenyewe.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mtaji Nnao, Wazo nnalo, nnahitaji watu wa kushirikiana nao

    Yes,you are a real man. Naamini utapokea changamoto nyingi,km maswali, ya maana na ya kipuuzi. Utapokea ushauri pia. Bnfsi,nina taaluma nyngne,na pia nina kz. Namuomba Mungu, atusaidie, watu kama wewe waongezeke Tz.Pmj cna.
  15. E

    JamiiForums Tanzania ajira mpya serikalini adi february 2013

    Wabongo lawama nyingi za nini? Mtu kakugea tetesi,kama kweli una shida zifanyie kazi. Kuna mambo mengine hayajawa wazi bado,yapokee hivyohivyo nyuma ya pazia yasipo kuwepo si basi.
Back
Top Bottom