Niko sawa au ni mawazo yangu ya kishetwain??

Niko sawa au ni mawazo yangu ya kishetwain??

binti unataka pesa?! wewe jifanye umeingia line. andaa mdada mwenzio mwenye simu yenye camera safii. kisha panga appointment ya kukutana na huyo mchungaji mahali ambapo watu huenda kwa recreation. sasa wakati mmeketi labda mnakunywa juice..jifanye umepeenda. piga naye story na kumpa busu busu huku secretly mdada mwenzio akichukua photos. baada ya zoezi hilo hizo picha utazi-print na utampa huyo mchungaji copy ya hizo picha. kisha umwambie 'kuanzia leo makusanyo yote ya sadaka na mafungu ya kumi unayopata kanisani...nusu yake nipe mimi vinginevyo picha hizi ataziona mkeo au waumini wako wataziona kwenye magazeti'!
haaaa...teeteeh...pesaa..pesaa!
 
hawa wachungaji wa namna hii ndo wanaondolea watu imani hadi sometimes unajikuta unapoteza ukaribu na Mungu kwa kuwanenea vibaya watumishi wake,Toria we mchane live coz unasema hajaenda direct wakati kwenye uzi unasema anatamani akukumbatuie,mara anakubusu mbona hiyo ni sababu tosha ya kumchana tena kwenye simu,na huo ujumbe usiwe unafuta coz utakuwa ushahidi when things turn wrong,lasivyo utaendelea kusubiria majuto ndo yatafuata.
 
Mchungaji anataka kuatamia kondoo wake...duh!!!
 
binti unataka pesa?! wewe jifanye umeingia line. andaa mdada mwenzio mwenye simu yenye camera safii. kisha panga appointment ya kukutana na huyo mchungaji mahali ambapo watu huenda kwa recreation. sasa wakati mmeketi labda mnakunywa juice..jifanye umepeenda. piga naye story na kumpa busu busu huku secretly mdada mwenzio akichukua photos. baada ya zoezi hilo hizo picha utazi-print na utampa huyo mchungaji copy ya hizo picha. kisha umwambie 'kuanzia leo makusanyo yote ya sadaka na mafungu ya kumi unayopata kanisani...nusu yake nipe mimi vinginevyo picha hizi ataziona mkeo au waumini wako wataziona kwenye magazeti'!
haaaa...teeteeh...pesaa..pesaa!

Huu ushauri wako unatisha kama ukomaaaa!!! nitoke nae,niwe nambusumbusu..hell noo

But nishkuru kwa mchango baba
 
Kulinyamazia suala hili ukazidi kuabudu kwenye kanisa lake kwa kivuli cha uchungaji utakuwa umeikosea mbingu na ardhi.Mchungaji huyu huyu ndo aendeshe toba na kukuwekea mikono katika hali hiyo na wewe unyamaze kimya??.Kuendelea kunyamaza kwako utakuwa hujawatendea haki mabinti wengine kama wewe ambao pengine Mchungaji ameshawatokea na kuwalaghai na pengine kufanikisha mbinu zake chafu.
La kufanya: Hakuna vya ninamheshimu sijui atanielewaje,tafuta appointment mkutane na umpe somo,mhakikishie kumtunzia sir
 
Daaa watumishi wa siku hizi bwana hata hawaaminiki kabisa!

Mwambie live kuwa hupendi anavyo fanya wala usimuogope maana hato acha!
 
Msikilize Lisa, msikilize Lisa amemaliza kila kitu.
 
hivi kwa nini watu mnapenda kufuga maradhi?

Anakutonboza halafu unajiuliza mara mbili?

Mchane live......

Akikupigia hovyo mwambie upo busy asipigepige hovyo

kaa vipi block namba yake
 
pole bi dada, kama hajawa open haina haja ya kumchana jifanye huelewi somo hadi atamke mwenyewe , ila hizo sms zake we usijibu maana ni ushahidi ila zitunze vikigeuka upate watetezi, ikiwezekana uwe unajibu majibu yasiyoendana yaani kumpotezea, ila ukiweza kumute kumkalia kimya atjishtukia mwenyewe naamini ataacha, kama kweli una nia iweke kwa matendo ataona tu
 
Huu ushauri wako unatisha kama ukomaaaa!!! nitoke nae,niwe nambusumbusu..hell noo

But nishkuru kwa mchango baba
No my dear...mimi sometimes huwa natoa ushauri kwa masihala..not serious like that. maana kufanya hivyo inahitaji watu wenye mioyo ya criminals but for decent people like you..haifai! mimi nakupa ushauri umwambie ukweli kwamba yeye ni mtumishi wa Mungu, married na ambaye unamheshimu kama baba. hivyo hupendezwi na anayoyafanya. unaweza hata kunukuhu msitari katika Bible unasema wazinzi wataenda ktk ziwa la moto. I am sure itam-touch sana na hatoendelea tena! akiendelea tena njoo nikupe stage ya pili jinsi ya kufanya!
 
Hapa ndo umenenaaa ya kiutu uzima
 
unasema ingekuwa ni mtu wa kawaida ungesha mchana..

Mi naona tena huyo mchungaji ndo wa kumchana mpaka aone rangi zote za rainbow.
yeye ni mtumishi wa Mungu, Ana mke kama ulivyosema , familia yako wanamwamini sana
na we unamwita baba..

Ingepeza zaidi kama ungemfumulia hayo yote ,
Na umwambie aheshimu na kutimiza amri za MUngu kama anavyofundisha waumini wake .

Amen.
Kama ingekuwa mimi ningemtumia msg moja tu(SIJAPENDA MAONGEZI YAKO) siku ile ile aliyosema hayo maneno ya kudelete msg zake kwani mchungaji ndio imekua nongwa asiambiwe ukweli labda mwenyewe hajui nafasi yake, wewe ndio unataka kujua nafasi yake we usimwogope mpe short and clear.
 
Back
Top Bottom