Baada ya kuona picha hii, nimeanza kuwa na wasiwasi na mambo ya SAPRAIZI

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
never trust a woman.jpg

unaweza kujionea the kind of a surprise a woman is prepared with...afu wako porini sijui nani alichagua hiyo spot
 
If women are not trustful, where is the man to be trusted?????? Most of the time, women are blamed for not being trustful. But as far as I know, Wanaume wamewasaliti wanawake, kama jinsi wanawake wanavyo wasaliti wanaume. Nani amefanya research na kuja na jibu sahihi, ni asilimia ya wanawake wangapi wanasaliti wanaume, na asilimia ya wanaume wangapi wanasaliti wanawake, ili tuje na jibu sahihi na la ki-sayansi kuwa "Never trust women". The knife may be a surprise as the flower. Tusihukumu sana, kwa kuwa tutahukumiwa.
 
Unacho ongea ni sahihi... Mi naona ngoma droo ila nyie wanawake mnagundulika mapema... Man anaweza kaa kwenye mahusiano ata miaka mi4 na anacheat kama kawa ila hagunduliki na mpenzi wake.. sasa binti ile emecheat tuu kwa mara ya kwanza anashikwa.. Tafuteni ujanja bana kama sisi..
 
Kila mwanamke aliposhikwa, alishikwa na mwanaume. Hivyo idadi ya wanawake walioshikwa, ni sawa na wanaume walioshikwa. (unless mwanamke ali-cheat na mwanamke mwanzake). Kutokana na Idadi ya wanawake kuwa wengi (rejea sensa), unapotafuta asilimia ya wanaume wanaocheat itakuwa kubwa Ki-asilimia, ukilinganisha na wanawake. Hivyo ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya wanaume si waaminifu katika ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ki asilimia. Ingawa ki-idadi, wanaume wanaotoka nje ya ndoa ni sawa na wanawake waliotoka nje ya ndoa. (Unless homosexual is practiced)
 
ni surprise nzuri sana kwani inaonesha kabisa jinsi gani mwanamke alivyomakini na misosi, maana location ni porini kuna matunda mengi lakini hakuna kisu cha kuyaanda tayari kwa kuliwa. nimeipenda sana, tofauti na ile ya ua ambalo halitanisaidia kuishi ktk mazingira ya porini.
 
If women are not trustful, where is the man to be trusted?????? Most of the time, women are blamed for not being trustful. But as far as I know, Wanaume wamewasaliti wanawake, kama jinsi wanawake wanavyo wasaliti wanaume. Nani amefanya research na kuja na jibu sahihi, ni asilimia ya wanawake wangapi wanasaliti wanaume, na asilimia ya wanaume wangapi wanasaliti wanawake, ili tuje na jibu sahihi na la ki-sayansi kuwa "Never trust women". The knife may be a surprise as the flower. Tusihukumu sana, kwa kuwa tutahukumiwa.
Usaliti wa picha kama hiyo kwa w/ume sijawahi kusikia labda kwa w/ke ndo hutokea mara nyingi sana.
 
Kama umenicopy na kunipaste hapa vile, kuhusu hivyo vitabia vyote vipo na nyongezaaaaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unacho ongea ni sahihi... Mi naona ngoma droo ila nyie wanawake mnagundulika mapema... Man anaweza kaa kwenye mahusiano ata miaka mi4 na anacheat kama kawa ila hagunduliki na mpenzi wake.. sasa binti ile emecheat tuu kwa mara ya kwanza anashikwa.. Tafuteni ujanja bana kama sisi..
Watu wa sai-kolo-jia,wanadai wanawake wana cheat xana kbla y kuolewa kw 7bu hawana uhakika nani atawaoa,na wanaume wana cheat xana baada ya kuoa wakiamini kwmba nyumbani kuna ulinzi ngoja waendelee kuonyesha ulijali wao kw wengine.
 
Kila mwanamke aliposhikwa, alishikwa na mwanaume. Hivyo idadi ya wanawake walioshikwa, ni sawa na wanaume walioshikwa. (unless mwanamke ali-cheat na mwanamke mwanzake). Kutokana na Idadi ya wanawake kuwa wengi (rejea sensa), unapotafuta asilimia ya wanaume wanaocheat itakuwa kubwa Ki-asilimia, ukilinganisha na wanawake. Hivyo ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya wanaume si waaminifu katika ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ki asilimia. Ingawa ki-idadi, wanaume wanaotoka nje ya ndoa ni sawa na wanawake waliotoka nje ya ndoa. (Unless homosexual is practiced)
Duh, mkuu nimependa analysis yako, very academic. You must be genius
 
Unacho ongea ni sahihi... Mi naona ngoma droo ila nyie wanawake mnagundulika mapema... Man anaweza kaa kwenye mahusiano ata miaka mi4 na anacheat kama kawa ila hagunduliki na mpenzi wake.. sasa binti ile emecheat tuu kwa mara ya kwanza anashikwa.. Tafuteni ujanja bana kama sisi..

Kwa wanawake ni tabu kubuni maujanja.
Mwanamke hawezi kumudu ujanja wa mwanamme. Kwa hakika si ujanja bali ni tabia iliyojengwa kwa karne nyingi na kukubalika katika jamii ( male chauvinism - definition of male chauvinism by the Free Online Dictionary, Thesaurus and Encyclopedia. ). Na mwanamke atakayeweza ujanja huu anababwikwa jina la ma.laya/ kaha.ba.

Wanasaikolojia na wataalamu wa mambo ya mahusiano ya kijinsia na mapenzi. Wanafafanua kuwa wanaume wana haja tofauti na wanawake wanapoamua kuwa na wapenzi tofauti.

Wakati wanaume wanatafuta zaidi sehemu ya kupunguzia maji mazito na kuendeleza" male chauvinism", wanawake wao hutafuta ukuruba wa kihisia kwa mpenzi wake au atakuwa anatafuta fedha za kujikimu kimaisha au kuweza kupata uwezo wa kununua vitu vya bei mbaya.

Hali hii inapelekea mwanamke kutambulikana kwa urahisi kuwa ana mpenzi mwengine.
Mwanamme kwa kawaida, ukuruba wake kwa mwanamke asiye mpenzi wake wa kudumu(mke wake) ni ule muda anashughulika kuunganisha bomba yake(pipe) kwa "nyumba ndogo". Kazi ikimalizika, uhusiano wa kihisia unapotea , anarudi nyumbani kwa familia anasubiri maji yajae tena.

Mwanamke anapopata mpenzi wa ziada huwa mawazo yake,hisia zake zinakwenda kwa mpenzi mpya na "mwenye mali" (mpenzi wa kudumu, mume) anaona mabadiliko ya haraka ya uhusiano baina yake na hiyo mali yake.

Nisiwachoshe kwa porojo....
 
Back
Top Bottom