mhh nimechoka wala sijafika mbali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mhh nimechoka wala sijafika mbali?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bidodo, Apr 3, 2013.

 1. b

  bidodo JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mapenzi ya mbali yashanichosha sijafika mbali mienzi kadhaa tooo. Naogopa kumwambia nimechoka siwezi tena sijui itakuwaje wadau ushauri. Si atanichukia maana kanambia hawezi kuowa tena nikimuacha. Kasema nitamuumiza sote tunasoma ila nchi tofauti mwenzangu afrika mie nje.sasa sijui itakuwaje mii siwezi nishachoka mapenzi ya simu na email. Wadau usahauri please nifanyaje si nitamuuwa mtoto wa watu au anadanganya maana tumependana on the phone and fb lakini tunajuana nyumbani
   
 2. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kaa utulie wewe mbona mimi niko mbali huko unakoita nje ya nchi zaidi ya mwaka sasa lakini mambo yanaenda.Kila mtu anaamini kuwa hakuna anae-cheat.Umepata wa kukuzuzua chuoni eti??utajuta!!Shauri yako.
   
 3. e

  edi-kusini Member

  #3
  Apr 3, 2013
  Joined: Dec 2, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waswahili(wahenga) cio wapumbavu hata kidogo. Wana-uzoefu mzito wa muda mrefu kuhusu masuala ya maisha.Walisema,fimbo ya mbali hai-ui nyoka. Ulivyoumbwa utavutiwa na kukitumia kile kilichokaribu yako.Matumiz y cmu na email yko limited kwny mambo fulani tu.Kwa 7bu unadai umechoka,mwambie ukweli,mungu na mimi tunawpend wtu wakweli. Hawezi kufa,huko kutokuoa tena
  ni defence mechanism tu ili u-come down.Uliumbwa alone fuata hisia zako,cio
  dhambi,huvunji sheria.
   
 4. b

  bidodo JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I know ila mimi na yeye tumependana umo umo fb simu japo tunajuana home BHULULU ndo maana ata mie siwezi jua anafanyaje uko ila mie sina mwanamme nimechoka too
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwa nini uchoke kama umenuia?
   
 6. b

  bidodo JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ok thanks for advise edi-kusini umeona ehh mapenzi ya mbali tabu nimeona. Nilijaribu nishashindwa njiani japo kijana ni mtu mzuri too kwa tabia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. mtoto mpole

  mtoto mpole JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha duuuh maneno hayo hata kwenye kanga yapo...ukimuacha atatafuta mwingine ataoa tu na hv mpo mbali anamega wengine huku may be am not sure ila anakupa moyo hahahahah....fanya matendo kata mawasiliano nae as action speak so loud....atajisepesha fastaaa
   
 8. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2013
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,372
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Umekutana nae online, how secured are you?waweza subiri ikala kwako, la muhimu weka mguu moja nje mwingine ndani ili hata ukifika ukikuta hali sio usiumie
   
 9. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2013
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,800
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  vumilia, kila mtu angekuwa hivyo hakuna ambaye angesoma mbali na mwenzake.
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Naona unatafuta justification kwa ulichoaamua,kila la kheri!
   
 11. 2013

  2013 JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 7,598
  Likes Received: 1,422
  Trophy Points: 280
  kwakweli 'fimbo ya mbali haiuwi nyoka. Haina kurremba hiyo. kama vipi mteme tu' . but first Listen to your heart before you tell him/her goodby.
   
 12. Junior R

  Junior R Member

  #12
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 20, 2013
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ETI NIMECHOOOOKAAA!!!
  Unadhani umekua wa kwanza kusoma nje eeh! .Hata mimi sa hivi ndo natoka ofisini so unaweza jua niliko (GMT-5) ila mpenzi wangu yuko Tz na tunawasiliana vzuri tu na tunapendana sana. Wewe nadhani hujitambui na unahitaji maombi. Kwani huko ulipo umeenda kutafuta mpenzi au ni maisha ndo yamekupeleka huko.Acha uzuzu wewe!!!
   
 13. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Afadhali umenisaidia kumpa za uso,hata mimi nimemwambia amezuzuka sehemu,anataka kutufanya hapa watoto
   
 14. b

  bidodo JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani hamutambui miii sijaja kutafuta maisha tooo ila mkaazi wa nje hata nikienda home naenda kusalimia too na kurudi.ndo maana naanza kuchoka maana sijaja huku kusoma tooo naishi huku na familia na maisha yangu sana huku Junior R
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. k

  kisukari JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2013
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,643
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya mbali yanachosha kama hayana malengo yoyote yale.mwisho wa yote,mmoja inabidi a sacrifice,am join mwenzie.hiyo ndio solution.kuliko siku zinaendamnyie ni mawasiliano tu.kama wewe umesema unaishi nje ya nchi.onana nae face to face mjadiliane
   
 16. John L. Mihambo

  John L. Mihambo Verified User

  #16
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 459
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwahiyo unachotafuta hapa ni nini hasa? Mimi naona sijakuelewa labda!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ablessed

  Ablessed JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2013
  Joined: Mar 19, 2013
  Messages: 4,624
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwani si ulimpenda au. Manake huku nje bwana kumpata choice yako utata kwelikweli. Nimeona na ninawaona wadada wengi wanahangaika sana. Sasa kwanini ulimkubali ilhali wewe unaishi nje. Mi nadhani unakitu zaidi ya haya maneno ya kusema umechoka. Kama kweli inatoka moyoni mwako poa fanya kwa kadri ya nafsi inavyokutuma. Kuwa nje au tz sio sababu ya uchovu au doc itakua vigumu yeye kupata labda , nauliza tu. Unajua kuna umri watu wengi wanakukimbiza lkn ukipita utaja chagua wa ajabu hadi nomaa kumuintroduce we acha tu . Tena kama mnafahamiana toka bongo huyo mbona mzuri mno. Ushauri wangu fuata nafsi yako inavyokutuma.
   
 18. b

  bidodo JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mie mdada but asante kwa ushauri kwani wewe unaishi nje. Swali wewe unaonaje vijana wa nje unawaamini maana ukiishi kwa sie wadada wengi hatujui hasa wanaume na tabia zao maana kila mtu na maisha yake. Ablessed
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2013
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,016
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  una tatizo kubwa zaidi ya hili tunalolisoma hapa!
  muulize aliyenielewa akwambie una tatizo gani!
   
 20. b

  bidodo JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2013
  Joined: Jan 16, 2013
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nieleze wewe hilo tatizo Ablessed ndo maana nimefika hapa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...