Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

[TD="class: xl67, width: 54"]Ayubu[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]19[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]25[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Lakini mimi najua ya kuwa Mteteaji wangu yu hai, Na ya kuwa hatimaye atasimama juu ya nchi. [/TD]
 
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu ili niweze kutoka na kupona salama.
Nawatakia siku njema...

Nakutakia kila la heri, lakini ushauri wangu kwako next time usiwe unafanya operehseni mwishoni mwa wiki unless hakuna option.

Jitahidi uwe unafanyiwa operesheni mwanzoni mwa wiki.
 
Mungu atakusimamia na jopo la madaktari waifanye kazi vzr. Uwe na amani
 
Maombi yangu yako pamoja nawe, Mungu awe ndio daktari mkuu wa hiyo operation na tunaimani kubwa kuwa utatoka salama huko theatre
 
Mungu akutie ujasiri katika kila hatua utakayoipiga, akupe uvumilivu kwa kila chungu utakalopata,
Amuongoze daktari kwa kile tendo afanyalo, vile vile ampe ujasiri na umakini wakutosha,
Mungu atakuwa nawe bega kwa bega na utatoka salama.

Ugua pole mkuu Tuko.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu ili niweze kutoka na kupona salama.
Nawatakia siku njema...

....siku zote MUNGU YUKO UPANDE WETU......
 
Kwa nini?

Tupe sababu na wengine tujifunze

Nakutakia kila la heri, lakini ushauri wangu kwako next time usiwe unafanya operehseni mwishoni mwa wiki unless hakuna option.

Jitahidi uwe unafanyiwa operesheni mwanzoni mwa wiki.
 
Pole sana bro.

Kuna siku mimi tumbo liliniuma usiku kucha next morning nikaenda kazini kwa shida shida. Jioni natoka kazini niende home nikasema niingia Regency nicheki tu na dokta kama hali ipoje, jamaa kunicheki anasema Appendix duh mimi hoi nikapigia simu watu wawili watatu saa tatu usiku jamaa wakaitoa.

Sio issue kubwa sana unapona fasta.
 
Nakutakia kila la heri, lakini ushauri wangu kwako next time usiwe unafanya operehseni mwishoni mwa wiki unless hakuna option.

Jitahidi uwe unafanyiwa operesheni mwanzoni mwa wiki.

Mara nyingi hizi Appendix zinakuwaga ni emergency mtu hujui na ni hatari sana ikipasuka huko tumboni so hapo hamna option ya mwisho wa wiki wala mwanzo ikionekana tu inaondolewa.
 
Ndugu wanaMMU dakika chache zijazo nitatakiwa kufanyiwa operesheni ya kuondoa kidole tumbo (appendix). Japo ni upasuaji mdogo, haya mambo ya general anaesthesia yanatisha kidogo. Naomba sala zenu ili niweze kutoka na kupona salama.
Nawatakia siku njema...

==UPDATE==
Wapendwa nawashukuru sana kwa best wishes na sala zenu. Procedure ilienda vizuri na sasa nimesharejea rum, nikiuguza tu kakidonda. Upendo wa Mungu uwe nanyi nyote...
Nimekkbali,hapo umejasirika,uzoefu ni kujua n kupambana na mambo mengi. Usisahau kusali.
 
Kila la heri Mkuu Tuko, usihofu kila kitu kitakwenda salama salmini. Get well soon Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hata kabla hujafanyiwa upasuaji wa kidole tumbo, ulikuwa na Mungu pamoja nasi! Mimi binafsi kabla sijapatwa na matatizo ya kujitakia baada ya kuanguka na gari kwa ulevi,nilikuwa mvivu sana kusali! Lakini baada ya kunusurika kifo na kubaki na makovu namwomba sana Mungu na sasa hivi siitaki kabisa pombe.

Bwana Mungu akuangazie nuru ya uso wake upone haraka. Kwa kuwa ulikuwa umekufa nusu kwa kupewa nusu kaputi na kufufuliwa upya kwa sala na mikono ya madaktari, siku zote mkumbuke Bwana Mungu wako kwa sala na mapambio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom