Recent content by Eddy Tarimo

  1. Eddy Tarimo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We utakua ulikua unaangalia mechi ya last season ukajua n live Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  2. Eddy Tarimo

    Kupigiana simu kwa wanandoa

    Negativity zinatufanya tukose amani ya moyo sana kwenye mahusiano, tyr to be positive Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
  3. Eddy Tarimo

    Kupigiana simu kwa wanandoa

    Labda nianze kwa kukuuliza swali, je hapo awali alikua ana kupigia pigia au amebadilika alipoenda huko!? Mda mwingine unaweza kuwaza negative kumbe ndo life style yake wako ambao hawapendi kuchat wanapenda kuongea na wapo ambao hawapend kuongea wanapenda kuchat so before you judge him jarib...
  4. Eddy Tarimo

    SIMANZI: Ajinyonga baada ya kusalitiwa na mpenzi wake, aacha barua yenye ujumbe mzito

    Em tumen na pics za mwili wake akiwa amejinyona... Haya mambo nimezoea kuona kwny movie zaa ki nigeria kumbe hata tz yapo??. [emoji34][emoji34][emoji34]
  5. Eddy Tarimo

    Siri tano kubwa za mafanikio bila utagemezi

    ..Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho. Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi...
  6. Eddy Tarimo

    SPECIAL FOR MEN'S... KAMA UNAMPANGO WA KUOA JARIBU KUEPUKA WANAWAKE WA AINA HII HUTOENDELEA KAMWE...

    1. Mtumiaji Kuna aina ya wanawake ambao wanakuona wewe kama mwanamume mzuri ili wakutumie kama chambo kuwafanikisha kimaisha. Unaweza kuwa mwanamume ambaye unauunganishi na watu wengi, ama unaweza kuwa mwanamume ambaye unapendwa na wengi. Mwanamke aina hii ataona kuwa akiwa karibu na wewe...
  7. Eddy Tarimo

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa

    Hii pia ni sehem ya kazi yangu... Kuhabarisha na kuelimisha jamii... Si wote walikua wanajua hayo?? Sasa kama mm nimepata habar nzur why nisi share??? Income its not abt the money only even blessings iz an income [emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
  8. Eddy Tarimo

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa

    Hahaha still yu hav a time juc change..
  9. Eddy Tarimo

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa

    Kwako ni makubwa uki compre n nan??? Kwa upeo wako ni makubwa ila kw wengine ni hopeless [emoji41][emoji41][emoji41]
  10. Eddy Tarimo

    Dalili kuu 7 zinazoonyesha mtu ambaye atachelewa sana kufanikiwa

    1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi, ana pesa za kununua nguo lakini hana pesa za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa. 2. Siku zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia movie, kusoma magazeti na kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana muda wa kusoma...
  11. Eddy Tarimo

    Mastaa wa Bongo fleva wenye vipaji ila hawana nyota ya kukubalika kwenye tasnia ya muziki

    BEN PAUL: Bernad Paul ndilo jina alilopewa na wazazi wake. Huyu ni mwanamuziki mkali wa Bongo Fleva na nyimbo nyingi anazoimba na uimbaji wake ni mzuri lakini imekuwa ni vigumu kutoboa kimataifa pia kwa Bongo tuzo nazo zimekuwa zikimpitia mbali. Ben Pol ametamba na ngoma kali kama jikubali...
  12. Eddy Tarimo

    Special for men: Mwanamke anahitaji yafuatayo kutoka kwa mwanaume

    Watu wanashindwa tofautisha mapenz na ku sexx.. Nisaidie kuwatofautishia mkuu
  13. Eddy Tarimo

    Special for men: Mwanamke anahitaji yafuatayo kutoka kwa mwanaume

    Very low level of thinking nashukuru umenisaidia kuwaelewesha [emoji106][emoji106][emoji106]
  14. Eddy Tarimo

    Special for men: Mwanamke anahitaji yafuatayo kutoka kwa mwanaume

    KUTATULIWA MATATIZO Wanawake wengi hutegemea kuwa wanapokuwa na wapenzi watasaidiwa katika matatizo ya kimaisha na migogoro ya kimawazo. Kwa mfano ushauri juu ya maisha yao, kulindwa na hatari za kimaisha, kusaidiwa katika shida na kuongozwa pale wanapohisi kushindwa kufanya jambo. Kama mwanaume...
Back
Top Bottom