SIMANZI: Ajinyonga baada ya kusalitiwa na mpenzi wake, aacha barua yenye ujumbe mzito

Mzazi nimehangaika kusomesha weee, mwenyewe hata kiwanja sikujinunulia nikawekeza kwa huyu mtoto now amepata kazi nasema afadhali nuru inakuja halafu leo naletewa barua eti kajiua kisa demu, haki ya Mungu nitamfuata huko huko kuzimu kudadeki
point mkuu huyu ni hasara aisee hata Mungu aliyemuumba kamdharau kiasi hiki duuh
 
Em tumen na pics za mwili wake akiwa amejinyona... Haya mambo nimezoea kuona kwny movie zaa ki nigeria kumbe hata tz yapo??.
 
nasikia dem mwenyewe ndo huyo...za kunyapia nyapia nimepata
 

Attachments

  • IMG-20170122-WA0069.jpg
    IMG-20170122-WA0069.jpg
    53.1 KB · Views: 64
nasikia dem mwenyewe ndo huyo...za kunyapia nyapia nimepata
Hakuwa na haja ya kujiua kma ni kweli basi ni uwezo mdogo wa kustahimuli matatizo aliokuwa nao na kutokujiamini no shida vijana wengi wanakumbwa na hali hii
 
Em tumen na pics za mwili wake akiwa amejinyona... Haya mambo nimezoea kuona kwny movie zaa ki nigeria kumbe hata tz yapo??.
Ingekua poa 2muone na huyo Rose....kwa uzuri gan ama utamu gan hadi jamaa ajitoe uhai asee
 
aiseeee kijana RIP ila pia ni mapungufu makubwa kayaonesha maaana K zipo nyingi sanaaa

mm nilisalitiwa mwez wa 10 mwaka Jana sasa huyo demu yuko mbali nikaaamua kukaaaa tokea Jan 1 ananitafta nimemuweka blacklist ila ananitafta na namba mpya ila nimefanya uchunguz kaishatolewa kishika uchumba
 
Back
Top Bottom