Recent content by Ectus

  1. E

    JamiiForums Tanzania Birthday yenye utata

    Dunia ina mambo
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

    wanaume wa siku hizi wmetulia, very! very!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Sugu atangaza rasmi kumsapoti Jide Ijumaa

    muendelee kumsapoti hata baada ya shoo yake, msilete unafiki hapa:nod:
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

    Muda wa kupokeza kijiti kwa mwingine umefika....:A S clock::A S clock::A S clock::A S clock::A S clock:
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    Ni ukweli usiopingika Nyerere alichangia sana kuanguka kwa uchumi wa Tz
  6. E

    JamiiForums Tanzania Afungwa kwa kumnyonya ulimi mwanafunzi

    Angemuomba mkewe ulimi na ...vidole.Yote haya yasingemkuta.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Ndugu

    Unajua sikuzote mwanaume ndani ni chachu ya maendeleo. Ukigundua tu anamtazamo wa kindugu na kutokusikiliza mawazo ya mke,Mwanamke itabidi ajipange upya katka kuleta maendeleo binafsi. Isije tokea mume kafariki kumbe mali kaandika majina ya ndugu zake na watoto wakawa hawawma kitu.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Ndugu

    Hakuna kitu wanandoa wengi tunakosea kama kuchanganya ndoa na ndugu zako. Kwa maana kwamba kuona ndugu zako ni muhimu kuliko mkeo au mumeo. Sio kwamba hawatakiwi kuwa muhimu ila mwenzio wako ni muhimu zaidi maana anakujua vilivyo. Inashangaza kuona mume anapelekeshwa na mawazo ya ndugu au mke...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana nidhamu?

    Ndo hawa wanaodangawa na nyimbo za Mzee Yusuph za 'Nalishwa huku nikipepewa'
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana nidhamu?

    Ukiwa mama wa nyumba unaweza fanya ujinga huu.Mi wanaume yenyewe hii hata ufanyeje atakusaliti tu kama ameamua.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hana nidhamu?

    Kwani ukijiwekea maji mwenyewe hautakati mwili? au akukaribishe kwa kubembelezwa na kubebwa mpaka bafuni je ndo unatakata zaidi mwili?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ving'amuzi vya HD Sports package kwa ajili ya Barclays Premier League

    kwa Mbeya wanapatikana wapi?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Utata wa uraia wa r.kelly

    Nzovwe
  14. E

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Jamaa! Hii inatisha
  15. E

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Waislamu wanamatatizo sana,kwani kwenda kwenye bucha walilo chinja waislamu wenzao wanaona nin? Uchu wanyama
Back
Top Bottom