Recent content by Economist Jay

  1. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu limetutenga Watanzania

    Unaumwa wewe😂😂, tumefunzwa kuwa watulivu hata kama tuna shida, kwa kweli hapa walijitahidi, kwanza ukiona mmoja kachapwa risasi hakuna mtanzania hata mmoja atabaki mtaani😂😂😂
  2. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania SoC04 Inawezekana Tukawa Taifa Lenye Kujitegemea miaka 30 ijayo

    Maana imeonekana hatuwezi kuzitumia mbuga vizuri😂😂😂 ni bora kuamua kufanya yale yasiyowezekana
  3. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Pastor Malekana nini kimemkuta maana kigogo amemosti bila maelezo ya kueleweka

    Mbona kumuombea kiongozi ni jambo la kawaida! Ni kwa vile watu wanataka kama wanamchukia makonda, basi watu wote wamchukie. Huyo Kiongozi na mwenzie wa Arusha yaani Pastor Lekundayo walialikwa na Makonda kwenda kufanya maombi pamoja.
  4. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania SoC04 Inawezekana Tukawa Taifa Lenye Kujitegemea miaka 30 ijayo

    Leo nitachangia kidogo sana kupitia mpango wa maendeleo ambao watu wengi wanaweza kuuona kuwa ni wa ajabu sana. Nianze kwa kuuliza swali, inatufaidia nini kuwa na mbuga nyingi zinazoingiza kidogo sana kwenye pato la taifa ikiwa watu wake wana shida ya maji, afya na barabara huko vijijini...
  5. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Uongozi wa Vijiji ni Barabara ya Maendeleo Madhubuti

    Ni miaka mingi sana imefika Tangu taifa letu lipate uhuru toka likiitwa Tanganyika na leo ni Tanzania baada ya kuunganisha jamhuri ya watu wa Zanzibar na Jamhuri ya watu wa Tanganyika. Kumekuwa na mipango mingi sana tangu mwaka 1964 ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania. Kwa kiasi...
  6. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Je, neno "kufariki" linatumikaje?

    Niliona BBC Swahili wameandika kichwa cha habari kwamba "kikosi cha Gambia kingefariki" walipokuwa wakieelekea Afcon, je hapa hili neno limetumika ipasavyo? Hapa wanamaanisha kikosi kina moyo?
  7. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu siki(Vinegar) aliyonywesha Yesu?

    Sifongo ni dodoki litumikalo kufyonzea siki au vinegar
  8. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

    Nenda Jordan, chuo hiki ni chuo ambacho watu wengi hawajui tu lakini ukweli ni kwamba, ni moja ya vyuo vinavyotoa elimu bora nchini. Hawana mbambamba kama vyuo vingine, kwanza madarasa yana watu wachache wmbao walimu wana uwezo wa kuyamudu. Wewe fuatilia tu wanafunzi wachache tu waliosoma...
  9. Economist Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Mambo ya kawaida sana haya.
  10. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujua namna ya kuweka wasifu wangu kwenye Wikipedia?

    Wakuu msaada kidogo, hivi huwa inakuwaje hadi wasifu wa mtu unaonekana Wikipedia?
  11. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

    Huyu anatumia ulemavu kuji-defend hata kama ana makosa hataki kukubali kisa ni Albino aonewe huruma.
  12. Economist Jay

    JamiiForums Tanzania 2025: Ujumbe kwa Chama Cha Mapinduzi

    Ninamtaka Mwinyi, 2025 JMT
Back
Top Bottom