Recent content by echuma

  1. echuma

    Mafuta ya kukuza na kujaza nywele yanauzwa

    Tumia OMGrace Black Castor Oil ni kiboko kwa ukuzaji na utunzaji wa nywele,kama unasumbuliwa na mba na miwasho baada ya kusuka pia ni suluhisho lako. ukinunua utapokea na karatasi ya maelekezo kwa ajili ya matumizi sahihi. Inapatikana kwa Tshs. 15000/= Delivery Dsm na Mwanza ni 3000/= hadi...
  2. echuma

    Legacy Impresion Company : Rasimisha biashara yako

    Kwa huduma ya kutengeneza Video promo kama hii na kudizaini & Kuprint
  3. echuma

    OnlineADD: Kufungua akaunti za kibiashara mtandaoni...

    Ili biashara yako iwe na muonekano thabiti unahitaji kuwa na akaunti za biashara,wajasiriamali wengi ,wanachanganya biashara zao na maisha yao,akaunti ya biashara hiyo hiyo inatumika kwa mambo binafsi hilo ni kosa unahitaji kuwa na akaunti maalum kwa ajili ya biashara yako akaunti ambayo...
  4. echuma

    ONLINE ADD : Jinsi ya kujitangaza kwa weledi mtandaoni

    Tunatoa huduma ya kutangaza matangazo ya biashara na brand mtandaoni ambapo tuna aina 2 za kutangaza. - Human factor na Machine Factor Ukitumia human factor hii ni huduma inayojumuisha matumizi ya biandamu sana kukufanyia update na pia kucomment kulingana na aina ya swali na post,hii...
  5. echuma

    Jinsi ya kutengeneza muonekano bora wa bidhaa yako na watu wakaipenda

    Unabidhaa yako leo na unataka kuitengenezea munekano bora zaidi? suluhisho lako kwa sasa ni Branding Product Package,Kifurushi cha bidhaa ambacho kinakupa vitu muhimu na vya msingi katika utengenezaji wa bidhaa yako. Katika promosheni hii upande wa bidhaa kuna chaguzi 2. 1. Logo 2 na Sticker 1...
  6. echuma

    Nafasi ya kazi Graphics designer

    Anahitajika mtu mwenye uelewa mzuri wa Graphics designing. Vigezo: Awe anajua kutumia vizuri software za designing. Uzoefu: Sio chini ya miezi 6. Jinsi ya kutuma maombi: Tuma Cv pamoja na portofolio kwenda email: aplication244@gmail.com Mwisho wa kutuma maombi: 18/07/2017.
  7. echuma

    Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Haya mambo huwa yanasumbua sana ila cha kufanya nafikiri ni bora ufuate ushauri wa wazazi, dogo aondoke wewe umsamehe mmeo maana hili tatizo liko karibu sana na wewe aliepata mimba ni mdogo wako na aliempa mimba ni mme wako wa ndoa, suluhisho sio kuikimbia ndoa maana hata ukiikimbia mdogo ako...
  8. echuma

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Natanguliza Shukurani naweza kupata softcopy ya Kinondoni Municipal Council ( Billboards, Signboard and Advertisement Control) By laws 2010...
  9. echuma

    Gwajima Akifa, jeshi la Polisi linaweza ingia matatani

    Lakini ukimsikiliza kwenye hiyo clip ya utetezi hata kuitwa kwake ameitwa kwa kuiona barua ya Kova mtandaoni
  10. echuma

    Watu 15 mbaroni kwa njama za Kutaka kumtorosha Mchungaji Gwajima

    Si wamesema bado hali tete sasa atatumiaje hivyo vitu
  11. echuma

    Ipe muonekano biashara yako na Legacy

    Nembo ndio utambulisho wa biashara yako karibu Legacy upate Nembo inayoendana na Hadhi ya biashara yako. Piga sasa 0713603699 au info@legacytz.com kwa maelezo zaidi. Legacy Impresion Company au Legacy Impresion Tunapatikana kijitonyama Dar es salaam na tunapokea hata kazi kutokea mikoa mingine...
  12. echuma

    Rangi nyeusi kwenye bendera ya taifa ni kiashiria kikubwa cha ubaguzi wa rangi!

    Naona kama hili limechukuliwa vibaya kuweka rangi nyeusi haukuwa ubaguzi ila ilikuwa ndio ukweli wenyewe wa watanzania kwani sisi weupe? Hata wahindi wakikaa kwa muda mrefu wanakuwa weusi sijaona kibaya katika hilo ila sema fikra ndio zimeanza kuwa mbaya fikra ndio zinajibagua ila sio rangi.
  13. echuma

    Wadau nisaidieni kuchagua jina la project kati ya majina haya

    Fanya liwe piga hatua project hii ni jina linalojumuisha majina yote hapo juu
  14. echuma

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    Mbona watu mnatoka kwenye mada nimeisikiliza audio ya Gwajima hajataja suala la ukiristo au uislam ila amesema kujenga msikiti kwenye ofisi ya serikali sio sawa wakristo watoke waende makanisani na waislam watoke waende msikitini,akimaanisha usawa uwepo ndani ya nchi kwa kuwa nchi hii haina...
  15. echuma

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Habari zinakanganya sana na ukweli ni kwamba Watanzania ni waoga hata bila kushuhudia watu wamekimbia sana,wamejiumiza sana bila sababu ukiuliza eti panya road wanakuja,wako wapi atakwambia wako huko we kimbia kujiokoa nafsi
Back
Top Bottom