echuma
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 311
- 80
Ili biashara yako iwe na muonekano thabiti unahitaji kuwa na akaunti za biashara,wajasiriamali wengi ,wanachanganya biashara zao na maisha yao,akaunti ya biashara hiyo hiyo inatumika kwa mambo binafsi hilo ni kosa unahitaji kuwa na akaunti maalum kwa ajili ya biashara yako akaunti ambayo itatumika kwa huduma na shughuli za biashara uwepo ama usiwepo,
kama ni mhanga wa jambo hili wasiliana nasi tukutengeneze akaunti na muonekano wa akaunti za biashara ili uanze leo kujitangaza kwa weledi.
Mawasiliano yetu ni 0765912609.
kama ni mhanga wa jambo hili wasiliana nasi tukutengeneze akaunti na muonekano wa akaunti za biashara ili uanze leo kujitangaza kwa weledi.
Mawasiliano yetu ni 0765912609.