Gwajima Akifa, jeshi la Polisi linaweza ingia matatani

Gwajima Akifa, jeshi la Polisi linaweza ingia matatani

Kwani death certification kazi yake nini??!!
Amelazwa haijulikani anaumwa nini??!!

Death ni "secondary to". . . . . .anayeelewa haya mambo hakuna lolote la polisi kuwa answerable mpaka kuwe na ushahidi ambao pia kuupata sio rahisi kama ku type hapa

Ushahidi ukipotoshwa na madaktari kwa kulilinda jeshi LA polisi ......hapo utasemaje?
 
Hivi kosa la Gwajima kufanyw akama gaidi, jeshi la polisi kuahirisha kazi zote ajli yake, wakati Pengo wala hana habari na hizo tuhumi, ni nini hasa?

Mfano wewe amekukosea nini Gwajima? Mambo gani yatamuua? Kweli giza ni mauti!.

Gwajima akifa ni sawa na mtu alojiua! Mambo yake mwenyewe ndo yatamuua kama akifa hakuna mwingne wa kumlaumu
 
Hatuombei afe ila ikitokea kajitakia mwenyewe kutokana na kuropoka. Isitoshe alihojiwa mbele ya wasaidizi wake na wakili wake pia hivyo isingekuwa rahisi kudhuriwa na polisi. Itakuwa ni mshtuko tu baada ya kugundua Kila sentensi aliyotamka na kushangiliwa na waumini wake alitenda jinai. Ukweli ni kuwa amezungukwa na wasaidizi makanjanja. Wanaishia kutunishia watu vifua wanasahau kuwa Masihi anajimaliza kwa kuropoka kwake.
Alijirekodi na kurusha clip ya utetezi hapo hapo anaokota habari za mitandaoni zenye uchochezi na kuzisambaza. Hekima iko wapi kama mtumishi?
Ilikuwa ni dhahiri haya yangempata kwani wakati akielekea kujisalimisha na akaongea na media people alikuwa ameshaanza kutetemeka. Nadhani Mh. Lawyer wake alikwisha kumpatia uhalisia wa jinai zilizokuwa zina mkabili.
Aelewe tu Jukwaa la Wakristo si kazi yake kusikiliza jinai. Jinai mlalamikaji ni Jamhuri.
 
Lakini ukimsikiliza kwenye hiyo clip ya utetezi hata kuitwa kwake ameitwa kwa kuiona barua ya Kova mtandaoni
 
umemaliza yote mkuu Cipro
kwa nn watu mnakimbilia kusema kuwa polisi walitaka kumuua,wakamuwekea sumu?

auliwe kwani yeye ana hatari gani kwa tanzania?

mbona sio tishio hata kidogo,kuna watu ambao ukisema serikali au polisi inataka kuwaua unaweza kujenga hoja lakini sio gwajima.

na pia kama wangetaka kumuua wasinge tumia mbinu mbovu ya sumu kwenye mic.

kagame amekua anawaua watu wote ambao kwanjia moja au nyingine wametishia kuuporomosha utawala wake,sasa gwajima auliwe na polisi ana hatari gani kwa taifa?

waumini wake na wafuasi wake ni sehem gani ya taifa?ni wachache sana,ni kama tone tu.

kwa nn serikali imuue,yy anajulikana kua anaongea vitu kwa pupa, aliongea kuhusu dengue,kitu ambacho ni cha kitaalam yy akakiongelea kwa kijinga.

hii kusema kuwa kawekewa sumu ni kutafuta pa kutokea tu

labda yy kapata mshtuko tu,hakutegemea kua alivyokua anaongea vile kwa kujisifu na kutaka umaarufu na kushanguliwa vinge mgeuka.

mishtuko kama hii inawakuta wengi,sio yeye wa kwanza.na yy ni binadamu tu kama wengine,na pia inasemekana kua hakula chakula kwa mda mrefu.vyote vinawwzekana.

lakini kutaka kuuliwa NO
 
Last edited by a moderator:
Sio jambo la kuombea ili litoke,lakini endapo ikitokea Askofu Gwajima akaiaga dunia ghafla,jeshi la polisi litakuwa kwenye wakati mgumu kutoa ufafanuzi juu ya kifo chake.
Siamini kama polisi walimdhuru gwajima ila kwa imani ndogo iliyopo kwa wananchi juu ya jeshi hili usishangae waumini wa gwajima wakahusisha kifo hicho na jeshi letu.
Mungu akujalie upone mapema askofu Gwajima na akuepushe na umauti urudi kuhudumu kwenye madhabau ya mungu,Na amani ya nchi yetu iendelee kudumu.
Mimi nimetoka kwenye ibada kumwombea asipone huyu mtu
 
Kama ni mgeni kwenye siasa za Tanzania unaweza kukubaliana naye,Hebu niambie yaliyompata Kolimba na wengine wengi tu na hivi majuzi kakoswakoswa Ulimboka kwa waandishi wa habari pia ni hatari tu,ila kwa Polisi si la kulinda raia bali ni la kuua raia mfano wa wazi kwa Gwajima wamemuonea sana hata wakimuua watakuwa hawajamtendea haki ni bora Jeshi la mkoloni unakuwa na uhakika wa Uhai wako lakini hili ni Roho mkononi
 
KUJARIBU KUMTOROSHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTOKA HOSP.YA TMJ MIKOCHENI.

Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.

Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

Wakawakamata watuhumiwa 15 na mmoja wao aitwae Ekomia Diagare alikutwa na begi ambalo lilikutwa na vitu vifuatavyo alivyokuwa akipelekewa Gwajima.

1.Silaha pisto Bereta no CAT 5802 ikiwa na risasi 3.

2.Risasi 17 za shortgun.

3.Vitabu check viwili

4.Passport ya kusafiria yenye jina Gwajima Mathias Joseph no AB544809.

5.Kitabu cha Equity Bank in check.

6.Document mbali mbali za kampuni ya Puma.

7.Charger ya simu na tablets

8.Suruali mbili,makoti mawili,singlend moja,socks pea mbili na boxer moja.

Watuhumiwa wote wako police Oyster kwa mahojiano.
 
Angalia maombi yasigeuke tu!
Nyie ndiyo waganga njaa matusi aliyokuwa akitukana alikuwa hajui kuwa kuna mungu,mwacheni ajifunze adabu kwanza Ana kesi ya mtoto na Mbasha haijaisha bado anataka kutupoteza maboya
 
KUJARIBU KUMTOROSHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTOKA HOSP.YA TMJ MIKOCHENI.

Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.

Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

Wakawakamata watuhumiwa 15 na mmoja wao aitwae Ekomia Diagare alikutwa na begi ambalo lilikutwa na vitu vifuatavyo alivyokuwa akipelekewa Gwajima.

1.Silaha pisto Bereta no CAT 5802 ikiwa na risasi 3.

2.Risasi 17 za shortgun.

3.Vitabu check viwili

4.Passport ya kusafiria yenye jina Gwajima Mathias Joseph no AB544809.

5.Kitabu cha Equity Bank in check.

6.Document mbali mbali za kampuni ya Puma.

7.Charger ya simu na tablets

8.Suruali mbili,makoti mawili,singlend moja,socks pea mbili na boxer moja.

Watuhumiwa wote wako police Oyster kwa mahojiano.

wamlinde asitoloke jaman!!! akipotea misukule itajaa mtaani wakutoa hakuna
 
hapa Ndio washabik wa mzinzi na tapeli gwajima wanapo shindwa kufafanua.

POLISI WAMEPATA WAPI PASPORT NA BASTOLA VILIVYO SAJILIWA KWA JINA LA GWAJIMA????

HIYO CHEQUE BOOK NA TABLETS ZA GWAJIMA WAMEZIPATA WAPI?????

MBONA ALIPOANZA KUHOJIWA JUU YA UHALALI WA MALI ZAKE ALIZIMIA????

KAMA YOOTE ANASINGIZIWA, HUKO KUMKASHIFU PENGO NAKO WANAMSINGIZIA???

JIBUNI HAYO MASWALI IKIWA NYINYI NI WAKWELI.
 
Nasikia aliambiwa na wapelelezi kwamba wanaenda kupekua sehemu zake zote yakiwemo maeneo anako fugia misukule ili baadae aseme kawafufua-ndipo akazimia. Sijui ni kweli?

Ameogopa maana wangefika huko wangekutana na akina, chacha wangwe, Amini chifupa, kanumba nk ambao aliwahi kutangaza anaweza kuwarejesha Duniani.
 
Sio jambo la kuombea ili litoke,lakini endapo ikitokea Askofu Gwajima akaiaga dunia ghafla,jeshi la polisi litakuwa kwenye wakati mgumu kutoa ufafanuzi juu ya kifo chake.
Siamini kama polisi walimdhuru gwajima ila kwa imani ndogo iliyopo kwa wananchi juu ya jeshi hili usishangae waumini wa gwajima wakahusisha kifo hicho na jeshi letu.
Mungu akujalie upone mapema askofu Gwajima na akuepushe na umauti urudi kuhudumu kwenye madhabau ya mungu,Na amani ya nchi yetu iendelee kudumu.

Na akome kuropoka!
 
Cipro Kagame kaingiaje hapa uwe makini na chokochoko wazee washapatana huku vimaneno bado be your age...
 
Attachments

  • 1427635274667.jpg
    1427635274667.jpg
    61.9 KB · Views: 358
Nasikia aliambiwa na wapelelezi kwamba wanaenda kupekua sehemu zake zote yakiwemo maeneo anako fugia misukule ili baadae aseme kawafufua-ndipo akazimia. Sijui ni kweli?

Si hatari hiyo,!!! Naanza Kupata picha mana wangekuta mindoo ya mimavi magunia kama ya yule teacher
 
Back
Top Bottom