Recent content by Ecb Selebobo

  1. Ecb Selebobo

    Tuition center

    Njoo inbox tujuane
  2. Ecb Selebobo

    Tuition center

    Habari zenu wadau naombeni kujua tuishen nzuri kwa masomo ya Sayansi kwa advance ni ip mm Niko Dar
  3. Ecb Selebobo

    Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

    Ha2jasema hana team kiba ila tumesema mond kanunua
  4. Ecb Selebobo

    Diamond Platnumz anunua ndinga mpya kama ya Ronaldo

    Safi sana kwa kum blast huyu jamaa maana katoa shudu
  5. Ecb Selebobo

    Kila nikisoma baada ya masaa 24 nasahau

    Jifunze kupiga chabo kwenye pepa ka vip
  6. Ecb Selebobo

    Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

    Naomba unisaidie Ku share
  7. Ecb Selebobo

    Serikali mbona mnataka kunitenganisha na familia yangu?

    Hii ndo bongo haibadilikagi haraka km unavodhani haya yalianza zaman mm nakushauri vumilia tu ipo day utakaa sawa
  8. Ecb Selebobo

    Korea kaskazini yaionya Marekani kuhusu kusogelea pwani yake

    Trump atawapiga Korea sawa lkn vita ikiisha marekan nayo itakuwa imepigika vya kutosha sawa tuu umuue adui yako afu yeye awe kakutoa macho na miguu
Back
Top Bottom