Recent content by Easy2Buy Computers

  1. E

    JamiiForums Tanzania BOOM Halitoshi Kununua Computer

    Asante Savimbi Jr. Nakupa bure Kaspersky Antvirus Key T9HDW-RM3VX5P4Z9-3EQUK . Kwa msaada mwingine piga 0715130212. Wengine mkita ntawauzia misimbazi miwili tu:D:D
  2. E

    JamiiForums Tanzania Processor gani nzuri kwa games kutoka i3 hadi i5

    Mko vizuri kwenye Magemu! Duh Mimi sasa nazikubali Core i7 6th Generation Ziko na Intel iris Graphics Ukirun na window 10 hapo ni balaa, utakumbana na intel real sense technology.
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What Magufuli presidency means for Uhuru’s reign

    Magufuli for Changes Magufuli Land For Tanzanian Kenyata Land For Settlers
  4. E

    JamiiForums Tanzania Trump: Historia Moja ya Ubaguzi

    Du! Obama ndo chanzo
  5. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupokea zawadi yako msimu huu wa sikukuu

    Watu wote wanafurahia kupokea kilicho Chema kutoka kwa ndugu jamaa na Marafiki. Zawadi ni zawadi! Iwe kidogo ni zawadi na inapokelewa kwa Moyo wa shukrani. Wengine wanatoa magari, wengine wanatoa nyumba, wengine wanatoa mavazi, wengine wanatoa chakula, wengine wanatoa Maua na wengine wanatoa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupokea zawadi msimu huu wa sikukuu

    Watu wote wanafurahia kupokea kilicho Chema kutoka kwa ndugu jamaa na Marafiki. Zawadi ni zawadi! Iwe kidogo ni zawadi na inapokelewa kwa Moyo wa shukrani. Wengine wanatoa magari, wengine wanatoa nyumba, wengine wanatoa mavazi, wengine wanatoa chakula, wengine wanatoa Maua na wengine wanatoa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na usiku pack

    Lazima nijiunge halotel
  8. E

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Watu wamesoma sana hiyo Good Governance ndio maana wanaju jinsi ya kucheza nayo. JPM aendelee hivohivo. Akipita mulemule watamshinda wataalamu wakongwe wa KOMBOLELA aka Good Governance
  9. E

    JamiiForums Tanzania BOOM Halitoshi Kununua Computer

    Ni lazima tuwasaidie wadogo zetu@ Savimbi Jr
  10. E

    JamiiForums Tanzania BOOM Halitoshi Kununua Computer

    Masizonz na masirizi yanashushwa kwa wiFi ya Chuo! Loh danmarc , si huu ni ufisadiz
  11. E

    JamiiForums Tanzania BOOM Halitoshi Kununua Computer

    Asante wachangiaji wote. Kichekoh umeweka msisitizo.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

    Mshahara wa dhambi ni mauti! Acha uzinzi. Mrudie Mungu wako. Ulikuwe mzinzi,sasa umebuni uchonganishi, Badae uuaji. Acha kabisa
  13. E

    JamiiForums Tanzania Raisi Magufuli alipaswa awe Paris leo hii!

    KaziTu#
  14. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aweka rekodi, siku 25 bila Mawaziri

    Huyu ndiye RAISI wa watanzania wote! Alisema ukweli "Nipeni hiyo peoples power..."
  15. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ulimbukeni? Kuwa na wanawake wengi na kuwadanganya utawaoa

    Ahaha! Uongo uongo haufai
Back
Top Bottom