Namna ya kupokea zawadi yako msimu huu wa sikukuu

Nov 13, 2015
19
6
Watu wote wanafurahia kupokea kilicho Chema kutoka kwa ndugu jamaa na Marafiki.
Zawadi ni zawadi! Iwe kidogo ni zawadi na inapokelewa kwa Moyo wa shukrani.
Wengine wanatoa magari, wengine wanatoa nyumba, wengine wanatoa mavazi, wengine wanatoa chakula, wengine wanatoa Maua na wengine wanatoa likizo kazini; lakini sisi tunatoa PUNGUZO LA BEI BABKUBWA msimu huu wa sikukuu.

Amini ofa hii ni ya kipekeee. Kwa Shilingi za kitanzania 520,000/= tu unajipatia Toshiba C55 mpyaaa au Lenovo G50-30 mpya kabisa.
Kwa ofa hii utakuwa umehifadhi Shilingi 50,000 kwa matumizi ya familia.
Sifa za kompyuta mpakato hizi ni nzuri.
Intel Celeron 4thGen
2GB RAM DDR3L
500GB HDD SATA
WiFi, webCam, Bluetooth, DVDRW, 15.6"

Wahi kabla ofa haijaisha, mzigo ni mchache.
Nipigie@ +255715130212 au +255788130212
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom