Processor gani nzuri kwa games kutoka i3 hadi i5

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,482
882
msaada wakuu ni processor gani nzuri ya i5 inayoweza kuran magemu makubwa kama gta 5 witcher 3 assassins creed 3
 
Ukiwa na processor i5 ya speed kama 2.4Ghz na Display memory isiyopungua 2Gb , RAM pia iwe ya uhakika atleast 4GB .. Games nyingi zitacheza.

Epuka processor zenye namba zinazoishia na 'U'
 
processor nzuri inayopatikana kiurahisi inayocheza game za kisasa ni i5 za second generation kama i5 2500 desktop zake zinapatikana around 500,000 hapa tz then itabidi utafute na gpu. itategemea na resolution utakayocheza kama ni 720p, 1080p, 1440p au 4k.
 
mkuu je kama nikipata gpu ya GeForce GTX 460 au ati Radeon HD 6850 si itakua poa sana mkuu naana kuna jamaa anauza
 
itategemea na mambo haya.
1. power supply ya hio desktop yako
-gtx 460 ina tdp 150w
-6850 radeon ina 127w

zote hizo ni gpu zinazokula sana umeme si rahisi kufanya kazi kwenye power supply zinazokuja na desktop itabidi ubadili na kuna baadhi ya desktop upatikanaji wa power supply zake ni mtihani kidogo.

2. bei za hizo gpu
gpu zote hizo ni za kizamani na ni lowend utacheza tu games kwa hd na games chache kwa full hd. kwa mimi nisingespend zaidi ya 150,000 kwenye hizo gpu, sababu zipo gtx 750/750ti zenye nguvu kushinda hizo na zinakula umeme mdogo sana.
 
Mko vizuri kwenye Magemu! Duh
Mimi sasa nazikubali Core i7 6th Generation
Ziko na Intel iris Graphics
Ukirun na window 10 hapo ni balaa, utakumbana na intel real sense technology.
5th generation ndio ina iris kwenye desktop, 6th generation haina ila may intel watatoa mini desktop yao inaitwa skull canyon itakuwa na iris 580. sema still hii mini desktop inatumia processor za laptop.

intel-skull-canyon-nuc1-695x450.jpg
 
itategemea na mambo haya.
1. power supply ya hio desktop yako
-gtx 460 ina tdp 150w
-6850 radeon ina 127w

zote hizo ni gpu zinazokula sana umeme si rahisi kufanya kazi kwenye power supply zinazokuja na desktop itabidi ubadili na kuna baadhi ya desktop upatikanaji wa power supply zake ni mtihani kidogo.

2. bei za hizo gpu
gpu zote hizo ni za kizamani na ni lowend utacheza tu games kwa hd na games chache kwa full hd. kwa mimi nisingespend zaidi ya 150,000 kwenye hizo gpu, sababu zipo gtx 750/750ti zenye nguvu kushinda hizo na zinakula umeme mdogo sana.
mkuu nilishawahi kupata EVGA 9800 baada ya kuweka na kuwasha pc tatizo likaja ktk power button ikawa in blinking amber light kwahiyo si inamaanisha power supply ya hii desktop yangu haiendani na hiyo gpu?
 
sometime huwa zimekufa, gpu nyingi hapa tz ni mbovu. wanaponunua computer nje zinakuja na gpu zisizofanya kazi wao huzitoa na kuzikusanya, baadae hizo hizo zinazunguka mitaani.

ukieka gpu ya 125w haitaanza hapo hapo kula umeme hivyo computer ingewaka, ila ungefungua kitu kama game au kuedit 3d na gpu ingeanza kutumika na kiasi cha umeme kingeongezeka hapo ndio power supply ingefeli then computer ingezima au kurestart au kucrash au hata kuungua inategemea na bahati yako.
 
kwa hiyo kama gpu itafanya hivyo itakua ni mbovu?
 
Ukiwa na processor i5 ya speed kama 2.4Ghz na Display memory isiyopungua 2Gb , RAM pia iwe ya uhakika atleast 4GB .. Games nyingi zitacheza.

Epuka processor zenye namba zinazoishia na 'U'
hebu toa ufafanuzi hapo mkuu kwenye hizo processor zinazoishia na U na je ni zipi nzuri
 
zamani kulikuwa na cpu zinazoishiwa na M zinazotumia 35watts na processor zinazoishiwa U zinazotumia watts 15. hizo zinazoishiwa na M zilikuwa nzuri zaidi zina nguvu na gpu kubwa ila ukaaji chaji wa kawaida, zinazoishiwa na U hazikuwa na nguvu ila zinakaa na chaji zaidi na zilitumika kwenye ultrabooks (laptop nyembamba)

gen ya 4 ndio ilikuwa mwisho wa hizi zinazoishiwa na M, kuanzia gen ya 5 laptop zote za kawaida zinakuja na processor zinazoishiwa na U na zina nguvu kushinda M za zamani.
 
Asante sana mkuu, kwahyo kwa 2nd gen mpaka 4th gen inabidi niangalie zenye M Ila from 5th gen nisihangaike na hiyo kitu si ndo ndio😀Asante Sana mkuu
 
Ndio kama perfomance ni priority,

Na gen ya 4 ina nguvu kuliko ya 5 ( sababu hapa ndio kulikuwa na Transition)
 
Back
Top Bottom