Serikali tayari ilishajitoa kwenye masuala ya kufanya biashara NA kuruhusu soko huria, yenyewe ibaki ktk kukusanya kodi tu.Nashangaa KWA sasa Serikali hiyo hiyo inarudi tena Kuna kufanya biashara kupitia mlango WA nyuma.
Kuna njia nyingi sana za kuthibitisha uhalali au uhalisia (originality or genuinity) WA simu ya Samsung, KWA kutumia Security Codes, SMS, IMEI or Serial number check up, physical appearance ya simu yenyewe, n.k, n.k, n.k.
Ukitumia kifaa chochote kile cha ki-electronic ambacho kinatumia smart technology ujue kwamba upo uchi WA mnyama muda wote, hivyo basi unatakiwa uwe makini sana KWA sababu uwezekano wa kudukuliwa privacy yako ni !mkubwa sana kupita kiasi.
Kuna kisa cha kusikitisha sana ambacho kimemkumba "mkubwa...
Inaonekana pesa zilizorudishwa NA "wahujumu uchumi" tayari zimeshapigwa "alamba, alamba tena!! Aamu, aamu!!" : ya Mfalme Yusuf WA Jahazi Modern taarabu.
Umri huo KWA mtoto wa kike amekuwa kachelewa sana kufanya maamuzi sahihi KWA wakati muafaka. KWA mwanaume hakuna shida kwani anaweza kuoa hata binti WA miaka 20 wakati yeye mume akiwa hata NA umri WA miaka 50!
Ni kweli kabisa kuwa comments za wadau hapa zinahuzunisha.Lakini chanzo cha matatizo hayo yote Ni wao wenyewe Dada zetu.Wanapokuwa kwente umri mzuri wa kuolewa wanakuwa hawasikii ushauri WA MTU yeyote yule, wanakuwa hawajitunzi wala hawajui kusoma alama za nyakati NA matokeo yake wanakuja...
CIA wamekuwa wakifanya mauaji ya watu ambao KWA hakika Ni kitisho KWA Usalama WA watu WA USA NA ili Kulinda Maslahi mapana ya nchi NA wananchi wengi zaidi wasio na hatia WA nchi hiyo. Kamwe CIA haifanyi mauaji KWA watu ambao Ni wakosoaji wa Kisiasa WA Rais wa nchi hiyo au wapinzani WA Serikali...
Unajidanganya bure, suluhisho Sahihi juu ya matatizo kama haya Ni kuweka mfumo imara NA Taasisi imara ambazo zinawajibika ipasavyo KWA muda/wakati wote, bila upendeleo, hicho kinachofanyika sasa ni maigizo ya "one man show".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.