MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,950
- Thread starter
- #21
Ukiweka uzi ni kwa ajili ya wengine pia.
mzee utrakiwe una potential gani kwa hiyo kampuni ya simu au serikali? [emoji28]shida watu mnapenda ku over think mambo aisee kha, au kama unaongelea kutrakiwa na mpenzi wako basi uza hiyo simu ununue nyingine