Recent content by Dwmostration

  1. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anaenda Ubungo kwa kutumia usafiri wa basi la Mwendokasi

    Mimi pia 2020 kura kwa JPM
  2. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

    Zpo hata za chini ya hyo 600k
  3. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatuna mgombea Urais 2020, tukitaka kuvuka salama, ZITTO KABWE ndio mtaji wetu

    Hahahahaaa.....mpaka hapo mm cjakusoma unafagilia magifuli au ACT wazalendo?
  4. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani hii iliyotoa faragha za Steve na Mama Wema?

    Mmi naona ambaye anastagilinkuulizwa ni mama wema koz ile kaifanya kwa Advantage yake yeye kutokana na tuhuma zilizopo juu ya mwanae
  5. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

    Nimeipenda namba 10
  6. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Madhara makubwa watakayopata Chama Tawala baada ya msanii Wema kuhamia CHADEMA

    Kwangu mm wema sioni ktu cha kuhamasisha watu mpaka wahame chama ila tu naungana na ww mheshimiwa kuwa wema anasifika kwa matukio na siyo kwa kushawish watu kuhama chama.
  7. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Wasichana/Wanawake waliowahi kuwatongoza wanaume njooni mshuhudie

    Mimi nikipata mwanamke wa kunitongoza cmwachi hyohyo na weka ndani kwani mwanamke akikupenda kapenda kwelikweli na so mwanamke ajue unampenda
  8. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Masikitiko: CHADEMA pesa ya ruzuku ni kwa ajili ya nini? haitumiki kutibu viongozi?

    Hahahahaaaaaaaa!JF bhana inawatukweli????
  9. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania CCM Vs CHADEMA nani kutamba 2020??

    Mm hili cwezi nikajipa matumaini ila ninaasilimia hache zankuwapa chadema ila mm ninachoona JPM ataendelea kushikilia nchi bt chaxema wataongeza viti bungeni
  10. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Nina ujauzito wa mume wa mtu, nifanyeje?

    Halafu mm huwa nashangaa mpaka unabebeshwa mimba na mme wamtu unafuraia nn wakat cx wanamme tupo tunao tafta wanawake wa kuoa mbona hamjitokezi?
  11. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanawake uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kulinganisha na wanaume?

    Kama vp nichek kwa 0628513100 ilaco kubpu
  12. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanawake uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kulinganisha na wanaume?

    mm npo hap ninasifa zote nifuate in
  13. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Umefikia muda kwa wapinzani kuungana na CCM, tumechoka kudanganywa

    Hahahahahahaaa!siasa mchezo mbaya sana kwan ww utajiweka kipau mbele kudai haki mwenzako ww ndo mtajiwako wakt huo yy anafanya mambo yake ya msingi.Huoni wengne tunao wategemea kupiga vta chama tawla kumbe wana kadi za vyama 2 tofaut jamanii Wtanzania twafaaaa
  14. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Trump apewe nuclear codes

    Hili ni sahihi sheria zizingatiwe
  15. Dwmostration

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni walalamishi, wavivu, wanafiki na wapenda dezo. Magufuli endelea kutunyoosha

    Ulijuwaje ss watanzania kufanya kazi mpaka watu bust mm naona hvjv kamba isilegezwe [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Back
Top Bottom