Dwmostration
Member
- Jan 1, 2017
- 18
- 16
Zpo hata za chini ya hyo 600k
Au chek jamaa wanaitwa amazing lifestyle wako insta wana duka mitaa ya mliman..bei zao poa sanaHivi wakuu duka Gan hasa kwa hapa bongo naweza pata home theater ya bajet ya laki sita hivi maanake Jana nimezunguka kariakoo kila nayoiona siiamin nataka Sony
Ilikuwa laki 7 na hamsini, sijui kwa sasa!Bei gani hii mkuu?
Wewe ulibahatisha, maana hiyo bei ni ya DVD player peke yake.
Mkuu chukua Sony wala hutajilaumu mziki mzito na zinadum muda mrefu sana ya kwangu huu ni mwaka wa saba sijaipeleka kwa fundi
bongo kupata ni ngumu, ingia ebay, amazon, na kwingineko kwenye manunuzi ya online. kama huwezi kuagiza mcheki @Rct mwlMtoa mada kesha changanywa .
Kwa mimi niliona watu wanasifia okonko naitafuta siioni sokoni.
Acha maneno weka music.
Mbona hujatupia picha?
Unapatikana Wapi? Full specifications please
Bei gani? Model pia utaje na sifa zingine.Shukran wakuu nimekapata haka
Hebu elezea vizuri mkuuungekua fanatic wa electronics ungeinjoi mkuu..unaingia ebay unatafuta power adapter+amplifier+6 speakers (walau 50W kila moja)+ 2 subwoofers (walau 100W kila moja) una assemble unakua na home made theatre unabandika jina lako ....bajeti kama jiwe nne ivi...
yani ww ni sawa na mtu anaulizia sabufa nzuri watu wanampendekezea za 180 then ww unasema kuna ambayo inauzwa elf 70...hiyo yako unachofaid wakati wa kuangalia movie tu ila mziki wake seapiano zile za laki na 170 au aborder ya 180k au Mr UK ya bei hiyo wanakuzid mdundo Wa maana ..hiyo yako haijazidi watts 300 bila shaka atleat ungekuwa na ya thousand wattsAahaaa kaka acha kumtishia bure,mm nimenunua home theater pale samsung agent mwanza pale nata kwa bei ya 250,000 ina deck,spika 5 na woofer moja.
Apa unazungumzia bei ya kiwanja mkuu
yah hapo mziki upo ila ungepata toleo la kisasa DAV-DZ650 hivi ingekuwa mwake sanaShukran wakuu nimekapata haka