DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,628
Habari wandugu
Hili naona lina kero ndani yake.
Kulingana na sheria,desturi zetu, in kosa kubwa kuingilia faragha za watu wawili,na Kama kuna ulazima wa kufanya hivyo sio kwa visababu vidogo vidogo.
Ningetamani niifahamu kampuni ya mawasiliano iliyodukua taarifa za sauti za wawili hao ili tuikimbie
Kwa ntazamo wangu pia ambaye anastahili kuhojiwa ni yule aliyeratibu mpango mzima wa kufuatilia mazungumzo ya watu.
Angalizo kwa kampuni za simu..Vocha zitadoda mitaani.