Recent content by Duwe40

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Hilo ndilo ttzo la kujifanya mjuzi wa kila jambo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro unashangaza kidogo

    Ni kweli kwa sbb wakazi wengi wa mkoa huo mlibaatika kuwepo ndani ya serikari kwa mtaji huo mkavutana Ndani ya serikari na kufanikiwa kupiga mapesa mengi Sana na kwenda kuendekeza mikoa yenu.mfano NBC BANK maofisa wengi ni kutoka Kilimanjaro matokeo yake mmeyaona.ATCL wafanyakazi wengi wa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge aliedai Wahudumu wa ATCL hawana mvuto aomba Radhi Bungeni

    Hilo neno maanake utamkuta mbunge ana maziwa hayo makuuubwa huku kichwani akili ya kufikiri ni kipi Cha kuongea na kipi so Cha kuongea kichwani hakuna, sijui hivi vyama vya siasa vinatumia vigezo gani kuwachagua.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    Ukweli hata shetani kure Eden alimjuwa mwanaume kiakili akaona mwenye brain ndogo ni hawa na kweli akafanikiwa ndio chanzo cha matatizo duniani.hebu kumbuka Samson na derila nani mpuuzi km sio derila ambae ni mwanamke.rudia maandishi ishini kwa hakili na mwanamke kwa nini mungu amwambie mwanaume...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Filosofia: Muundo wa akili ya mwanamke ni sawa na "one way traffic", inaruhusu upande mmoja

    Duh hii 95% Jamaa yupo sawa kwa hio mada.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Hivi kwa nini mvua ikinyesha kwa wingi Sisi wenye decorder za dishi ghafra matangazo ukatika nini ttzo au dish alipo Sawa?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Halo sasa umenena,,,
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wale tuliochanjia dawa mbalimbali tukutane hapa!!

    Hizo. Chuki sasa na atabaki kuwa juu muda mrefu kwa taarifa yako ndie waziri wa mambo ya ndani ajae jiandae kisaikoloji.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutegemea mshahara ni kujidhalilisha

    Nafikili ni stress mass imeachwa ya marehemu Yana ingiaje hapa?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Kikwete wana silaha za kutosha?

    Upo wapi tuje kukuchukua tukuelekeze vizuri kazi unavyojuwa.upo maeneo gani.wala usiofu wewe ni mzarendo haswa umeguswa na usalama wa kiongozi wetu.tupe namba yako tuwasiliane au tukutafute?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Anadai tukapime ngoma

    Wewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria saidieni wanafunzi waliocharazwa viboko na mtu asiye mwalimu kwa makosa yasiothibitishwa kimahakama

    Kwanza mkuu wa mkoa katimiza adhabu hio mbele ya mwalimu mkuu. Na Kila mwanafunzi kachapwa viboko 4 na Haina ya fimbo hiliyotumika ni ya kawaida saana haifiki fimbo tukizokuwa tukichapwa sisi tuliokuwa tunasoma shule za seminal. Na ndio maana watoto wengi wa seminal wapo vizuri kichwani na ni...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wanasheria saidieni wanafunzi waliocharazwa viboko na mtu asiye mwalimu kwa makosa yasiothibitishwa kimahakama

    Wewe ule Moto ungesababisha vifo na mwanao angekuwepo miungoni mwa MAITI huo ujinga unaotuletea hapa tusingeuona. Acha ujinga bibilia yenyewe inaruhusu fimbo kwa mtooto
  14. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu kumi bora ya makabila yanayoongoza kushirikiana katika shida na raha

    Wangoni wasingestahili kuwepo hapo badala yake ungewaweka wakinga na wahehe.hakunaa kabira lenye kuongoza kuchukiana na kuoneana wivu na hata kusimangana Kama wangoni na ndio maana hapa darjspo waliwai kufika kabra hata mkinga lakini ni agharabu kuwakuta wangoni wapo pamoja kibiashara na hata...
Back
Top Bottom