Anadai tukapime ngoma

MR LINKO

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,034
3,480
Habari wadauu

Leo sio mada ila ni jambo shirikishii. Baada kumla mke mmoja ambaye ni wa mtu zaidi ya mara 3.

Hatimaye leo amenikazia anadaii tuka pime ngoma.

Yanii hapa nilipoo anatuma msg kama hana akili. Na kila nikikumbuka,joto la kusubiria,majibu ya UKIMWI nahisi siwezi himili.

Nikimalia kuandika hapa nazima na simu bora mahusiano yaishee mimi na yeye abaki na mme wake.

UPDATE.

Tumeenda hospital ya kwanza nimekuta imefungiwa haifanyi kazii tena nikapumuaaa.

Ameropoka twende nyingine nikasema sio kesii hapo moyoo unadundaa balaaa. Njia mzima sina raha, tukafikaa nyingine, bwana weeeee alieko reception nina mfahamu na ni mtu wa mazingira ya nyumbani.

Nikamwambia manzi kuwa siwezi pima huyu mama ananifahamú vizurii. Maana najua lazima angejiuliza maswali kuwa huyu si mke wa mtu.

Basi akasema tutaenda keshoo sehemu nyingine.

UPDATE

Leo kanikazia kwelii yanii hadi anaanza lawama.
 
Hahahahaha!sikiliza kijana....wenzio tunafanya kama ifuatavyo,kama unamapenzi nae unaweza kwenda kupima kwanza wewe kujiridhisha kama majibu fuleshi ndio mnaenda wote and by the way alikuwa wapi wakati wote mpaka mmeshiriki tendo for 3 tymz....mwisho japo si kwa umuhimu asikupelekeshe kwanza ajue kuwa wewe ni hawara tu unamipaka yako asitake kukupanda kichwani.
 
Ok
tapatalk_1567597796988.jpeg
 
Wewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.
 
wanaenda kwa waganga kupata waume wenye hela kama za mabeberu sio apeche alolo
 
Komenti ya kiumeni(kiume) kudaddeki.

Ila naye fala kweli kweli,kutia alitia tayari,tumshauri nini?

Ingekuwa bado kutia tungeshauri,halafu mwanamke ni skrepa la fala fulani la Kwa Mtogole huko.

Hahahahaha!sikiliza kijana....wenzio tunafanya kama ifuatavyo,kama unamapenzi nae unaweza kwenda kupima kwanza wewe kujiridhisha kama majibu fuleshi ndio mnaenda wote and by the way alikuwa wapi wakati wote mpaka mmeshiriki tendo for 3 tymz....mwisho japo si kwa umuhimu asikupelekeshe kwanza ajue kuwa wewe ni hawara tu unamipaka yako asitake kukupanda kichwani.
 
Ky jely inamsubiri,aendelee tu *****.
Wewe ni mpumbavu kwa Nini utembee na mke wa mtu.ukizingatia ni dhambi na vilevile hunajuaje km mume wake anatumia doz au labda Dereva wa mafari ya kwenge congo.wanawake wapo kibao Tena wengine mbk wanapenda kwa waganga kutafuta wanaume wewe bd una angaika na mijike ya watu Acha ufara huo.
 
Wewe mweleze umeenda mkoani kuna shughuli unafanya utarudi baada ya mwezi mmoja
 
Habari wadauu

Leo sio mada ila ni jambo shirikishii. Baada kumla mke mmoja ambaye ni wa mtu zaidi ya mara 3.

Hatimaye leo amenikazia anadaii tuka pime ngoma.

Yanii hapa nilipoo anatuma msg kama hana akili. Na kila nikikumbuka,joto la kusubiria,majibu ya UKIMWI nahisi siwezi himili.

Nikimalia kuandika hapa nazima na simu bora mahusiano yaishee mimi na yeye abaki na mme wake.
Mkifikia muafaka unitag mkuu
 
Hicho ni kipindi kigumu mkuu,kuna mchepuko mmoja siku nyingi zimepita kidogo kutokana na uzuri aliokuwa nao nikajikuta nauza mechi...yeye kwa kuwa alikuwa haniamini akawa ananilazimisha nitumie raba;nikiangalia figa namba 8 chura ipo ya kutosha nikaona si mbaya nzi akifia kwenye kidonda,nimegonga hiyo kitu zaidi ya miezi 4;siku moja akasema sikuamini mimi naenda kupima liwalo na liwe.Mi nikamwambia poa...kila atua akifikia ananijulisha..nikasema kimoyomoyo kama majibu yatakuwa mabaya yatanitesa sana kwa sababu hata mimi nilikuwa simuamini.Baadaye ananipigia simu kabla hajaniambia chochote...ikabidi kuleta stori ili nimsome namna anavyoongea.Ndipo akanipa matokeo,yuko powa...nilifurahi sana;ikabidi nimpe zawadi ya kitambi.
 
Hahahaa ww jamaa huwaga haupo serious
 
Mwenzako kishapima kajiona mzima ndiomana anakukomalia nawewe muende mkapime.

Chakufanya nawewe nenda pekeako kapime, ukikutwa fresh ndio muende wote sehemu nyingine mkapime wote.
 
Back
Top Bottom