[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...Spanish Cp umenivunja mbavu sana! Kwamba jamaa hawana silaha wamejaza karanga na maandazi tu mifukoni mwao... Hahahahaaaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Upo wapi tuje kukuchukua tukuelekeze vizuri kazi unavyojuwa.upo maeneo gani.wala usiofu wewe ni mzarendo haswa umeguswa na usalama wa kiongozi wetu.tupe namba yako tuwasiliane au tukutafute?duh mzee wa rula naona uko jikoni....kumbe wanabeba mashin>>>>sasa kama yuko kwenye saloon car wanazihifadhi wapi? Kwenye buti?