Recent content by dume la simba

  1. D

    I need my Mr. Right

    Ni pm
  2. D

    Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Sizinga ina maana wote wameingia kazini kwa vyeti feki? Tafakari kabla ya kuchangia mada usikurupuke tu kuhukumu.
  3. D

    Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua

    Hivi kuna mungu anaependa wizi? Hayo matokeo ni upside down.ni kama kunguru kumnyea binadamu je ni shabaha au bahati?
  4. D

    Lowassa: Naamini ipo siku nitakuwa Rais wa watanzania, endeleeni kuniombea

    C mnavuta wote maana utasemaje anavuta tena kwa confifance ila we c mvutaji?je umejuaje,prove it.
  5. D

    UKAWA mbona kimya kuhusu ufisadi na mafisadi?

    Hilo fusso lilikuwa limebeba manyumbu au nyati? Nathamani yake ni sh ngapi?na hatua zipi zina chukuliwa?
  6. D

    Uongo dhambi: Mwanamke mwenye mimba mtamu

    We ulipewa ile Chanel ya mziki ya kwa late madiba na ukakuta ishatumiwa vya kutosha,kwa mtu mwenye akili timamu hawezi lala na shemejie.subiri cku yako ya kuparamiwa laana mkubwa
  7. D

    Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Faiza foxy kwahiyo na huyu kanunuliwa?aanze na waliobaki huyu amuweke kiporo
  8. D

    Mwenyekiti wa UWT Arusha ajiunga CHADEMA leo

    Acha muhemuko kijana
  9. D

    Almanusura niolewe hotelini, mke wa mtu sumu

    Acha uongo hiyo hotel haina ceiling board au gypsm board? Au dirisha lili kuwa wazi ndo sauti ikatoka nje? Je ni ghorofani au? Usilete mambo yakuja kuoshea kabila lako hapa .
  10. D

    Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

    Mkuu wote hao ni wakezako huna haja ya kuumia kwani ulivyo mparamia rafiki ya mkeo yeye angejua asinge umia? Maana hapa maumivu yako sijaelewa (1)kunyinwa 07(2) mkeo kutoa chumba chako(3)mchepuko wako kuparamiwa tena kitanda chenu kilicho laaniwa? Naomba ufafanuzi mkuu.
  11. D

    Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Mkuu inauma ila ukweli wanao wenyewe my advice just runaway
  12. D

    Friji bado mpya inauzwa

    Samgusn au ?
  13. D

    Je, ni kweli hii nyumba ilikuwa ya ukoo wa Edward Lowassa?

    We unapumuliwa,hata taratibu za miradi ya serikali hujui.
  14. D

    Naombeni ushauri

    Chuo kishirikishi au?
Back
Top Bottom