Asnte sana mkuu kwa ushauri wako ntaufanyia kaziWalk away dude! Usije fungua uzi kama huu tena huko bdae utakapokuwa ndoani na mna watoto. Kama angegongwa huko nje its another case. Ila kumlaza kwenye kitanda ambacho probably na wewe ukienda utalala. Hizo ni dharau, kutokujitambua na wala kukupenda kwa this...
alifanywa ATM halafu wengine wana partyElewa jamaa aligonga na tena usilolijua ni kwamba ktk kipindi chote cha miaka 4 ulifanywa zoba.... Changanya na zako ufanye maamuzi sahihi.
Sasa si ushukuru mungu umegundua leo?
je ungemuoa akakubambikia watoto je?
Si unaona mkuu, badala auchapishe mwendo mchepuko njia kuu yaja anatoa sababu. Mi nakuambia wanaume tuna heshimu wake zetu coz wakije michepuko inatoka. The girl would obviously rather be with mchepuko than jamaa
acha bwana kufanya hivyohawa wanawake wa vyuo hawa sina hamu nao hawana tofauti na machangudoa. Japo sio wote lakn walio wengi warahisi sana.
Tena mbaya zaidi haijalishi ni mtu mzima au hata mke wa mtu akishaenda chuo tu tayar anakuwa rahisi kuchukuliwa.
Nawaonea huruma sana wanaume walio na wanawake zao vyuon,
duh hata mimi siamini kama hawakunjunjana aisee.. ila huyo demu akili yake ina itilafu kuna fuse imekatika .. jaribu kumchunguza
acha bwana kufanya hivyo
Teh teh..Mpendwa nilitaka kukuita..Unaona jinsi ma-ex wakiwa karibu kinachotokea..
Mambo mengine uishie tu kuhadithiwaalifanywa ATM halafu wengine wana party
Mkuu asante kwa ushauri wako lakin suala la ada alikuwa akilipiwa na mzazi wake,me nilikuwa nikimsaidia pesa ndogo ndogo tu za matumizi
sasa ataisoma nambahaijakatika fuse sema tu amemsoma jamaa yake pamoja na mazingira yalivyo ndio akaamua kufanya hvyo.
Lakn alisahau kuweka plan B ya defence...