Tukundane
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 12,232
- 9,553
Kilichokuwa kinafanywa na wapinzani ni kuupigia kelele ufisadi uliokuwa unafanywa na serekali ya CCM na kazi nyingine ya wapinzani ilikuwa ni kumwandaa mtu atakayepambana na ufisadi,sasa mtu anayefanya kazi ya kupambana na ufisadi kwa kutumia silaha zilezile za upinzani ameshapatikana tayari.
Je wapinzani wanahaja gani ya kuendelea kuupigia kelele ufisadi ambao tayari unafanyiwa kazi na Magufuli tena wanaofanyiwa kazi ni walewale CCM ambao wapinzani siku zote wamekuwa wakiwapigia kelele kuwa ni mafisadi?.