Recent content by dully santo

  1. dully santo

    JamiiForums Tanzania Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

    Hii barabara ina humps tatu tu
  2. dully santo

    JamiiForums Tanzania Mh. Bulembo Wanaohama vyama wanabadili falsafa zao walizokuwa nazo awali?

    Hili Andiko ameandika Dotto Bulendu(Mwandishi) na Sio Bulembo
  3. dully santo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Rais mstaafu Benjamin Mkapa kumuwakilisha Msumbiji

    Usahihi : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  4. dully santo

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Tutalinda heshima ya nchi kwa gharama

    "Uzalendo ni kupigania nchi na Chama"
  5. dully santo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusichoke amani

    CCM Wanatumia neno "AMANI" kuwadhulumu wananchi haki zao
  6. dully santo

    JamiiForums Tanzania Hospitali Ocean Road yajibu madai ya Mange Kimambi,yakiri mlundikano wa wagonjwa na ubovu wa mashine

    To be Honest huyu Dada kuna vitu ambavyo anafanya ni vya maingi
  7. dully santo

    JamiiForums Tanzania UDART: Sasa nimeelewa kwanini hamtaki kuleta kadi tena

    Kabla hujalaumu ni vema ujue mpk ss zimetolewa kadi ngapi na ngapi ziko Active
  8. dully santo

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    Anatafuta kiki kwa Pikipiki. Subiri Lissu mwenyewe atawataja
  9. dully santo

    JamiiForums Tanzania Je Warembo na Wanamitindo wa Tanzania wanaweza jitokeza hadharani na kusema kama walinyanyaswa kingono!!?

    Kampuni ya huyo mzee imeandaa zaidi ya movie 300....Hivi ni wanawake wangapi wamepita mbele yake kufanya usahili ?? Wallahi hata mimi nakula.
  10. dully santo

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima wamuomba radhi waziri Ummy Mwalimu kwa kumnukuu vibaya takwimu za wanaotumia ARV's

    Kuna uhusiano kati ya walichoandika na uchochezi? kikubwa ni kwamba wamejua wamekosea na wameomba radhi
  11. dully santo

    JamiiForums Tanzania Kero ya umeme na maji jiji la Tanga

    Ngoja kwanza tupewe Bilioni 700 zetu hizo kero zote zitakuwa historia. Sema Ameeeennn...!!!
  12. dully santo

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

    Mkiambiwa mruhusu wapelelezi kutoka nje mnajamba jamba
  13. dully santo

    JamiiForums Tanzania Tukio la Lissu ni 'game changer' kwenye siasa za Tanzania

    Ni kweli Lissu kapigwa risasi na Mbowe basi waambie viongozi wako walete wapelelezi kutoka nje ili Bwana huyu akamatwe vzr mana hata yale ya nyuma amefanya yy
Back
Top Bottom