Ukifuatilia habari hapa kwetu hazina ubunifu kabisa, hazikati kiu ya Mlaji:
Ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia, Ni matarajio ya wengi Tukio linapotokea, waandishi wa habari wanatazamiwa kuja na taarifa yenye taswira pana zaidi kuliko taarifa zinazokuwa zimezagaa kupitia mitandao ya kijamii!
Lakini cha ajabu Ukifuatilia vyombo vya habari kwa waandishi wetu bongo zinakuwa ni zile zile kama zilivyosambaa kwenye social media!
Mfano: Tukio la ajari ya basi limeua:
Habari kama hiyo inaweza sambaa kwenye Social media kuwa " watu kadhaa wafariki katika ajari ya kampuni X, waliokuwa wakitokea eneo (A) kwenda (B) katika eneo (Y)".
Vyombo vya habari navyo huwa vitaripoti hivyo hivyo bila kutafta habari zaidi katika tukio hilo kiasi cha kuacha maswali mengi!
Mfano 2. Tamasha la wakulima liwe linafanyika mkoani,
"Mwandishi wa habari bongo anaweza akatoka na mgeni rasmi DSM, wakaenda nae mkoani kwenye Tamasha, halafu taarifa ya habari mwandishi huyo ataripoti habari akiwa anamhoji mtu yule yule aliyetoka naye DSM:" (aina ya wanaohojiwa ni walewale wanaohojiwa kila siku)
Kiufupi hapa kwetu vyuo vya habari ni kamavinazalisha Mbumbumbu!
Kwanza hata uvaaji wao hauna tofauti na wambea wa mtaani
#Paschal mayalla na waandishi wengine mliohumu mtanisamehe lakini badilikeni