Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Angeanza na judge
Angekumbushi ile pangaboi yetu waliyosema imelipiwa kidogo so ishaanza kuja
Ila saivi magu hana mtu wa kumsema kamzima mpk hashimu rungwe asee mzee alikua anampa ushauri mzuri tu police nao saivi wanafanya kazi zinazowahusu hawa deal na wanasiasa kabisa bashite naye kaendelea kua rais wa wakuu wa mikoa yote pamoja na baadhi ya wizara zipo chini yake
 
Kura yangu 2020 akigombea shujaa Tundu Lissu sisi pamoja yetu tutamuumga mkono hakika TunduLissu atakuja kuwa mzito sana Tanzania Mungu ana mpango mkubwa sana Tundu Lissu.
Hivi mnapotajaga Mungu ni Mungu gani hasa huwa mnamkusudia? Maana hata Slaa tuliambiwa ni mpango wa Mungu.
 
Watanzania wote naomba niliwakilishe hili kwa ufupi tarehe 6 mwezi wa kumi nimeota ndoto Lissu amechaguliwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akimzidi raising wetu mpendwa mhe Joseph John Magufuli kura 43,456.

Nilishuudia katika ndoto Mhe Rais John Joseph Magufuli hakumpa mkono wa ushindi na Mara kukaa upande wa kulia mwa jukwaa aliteremka kidogo akwambia watu acha aongoze ni haki yake.

Sisi tuliokuwa mbele ya jukwaa tukawa tunasemezana ngoja aongeze ila Rais Magufuli kweli ni mzalendo wa taifa letu maneno hayo tulikuwa tukiyaongea na Lissu akiwa anaanza kutoa hutuba ni hilo tuu sikuona zaidi ya hapo.

Ijulikane sijawai kukosea katika ndoto
dunia igeuke juu chini, chini juu haitatokea abadan! pole kwa ndoto za kijinga
 
Hii ndoto inawezakuwa ni ya kweli kabisa.
Haiwezekani risasi zaidi ya 30(magazini nzima ya SMG) zikashindwa kusababisha kifo.Huu ni mpango wa Mungu, cyo bure.
Tundu Lisu ni zawadi ya pekee kwa watanzania wanyonge kwa uvumilivu na utulivu waliouonyesha kwa zaidi ya miaka 50 ya kitu kinachoitwa uhuru.
 
Watanzania wote naomba niliwakilishe hili kwa ufupi tarehe 6 mwezi wa kumi nimeota ndoto Lissu amechaguliwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akimzidi raising wetu mpendwa mhe Joseph John Magufuli kura 43,456.

Nilishuudia katika ndoto Mhe Rais John Joseph Magufuli hakumpa mkono wa ushindi na Mara kukaa upande wa kulia mwa jukwaa aliteremka kidogo akwambia watu acha aongoze ni haki yake.

Sisi tuliokuwa mbele ya jukwaa tukawa tunasemezana ngoja aongeze ila Rais Magufuli kweli ni mzalendo wa taifa letu maneno hayo tulikuwa tukiyaongea na Lissu akiwa anaanza kutoa hutuba ni hilo tuu sikuona zaidi ya hapo.

Ijulikane sijawai kukosea katika ndoto
Hili ni chaguo la Muumba hakuna jinsi. Liko wazi kabisa! EL akae pembeni
 
idd Amin alikuwa mnyama kutokana na Ushauri wa mshauri wake mkuu aliitwa Maliyamungu ambaye alikuwa na Roho mbaya sana na sasa Huko Tanzania kazaliwa mjukuu wa Maliyamungu anaitwa Bashite huyo Maliyamungu wa Dsm ndiyo anamshauria Ushetani Vitu vibaya Mtukufu malaika toka Chato, hicho kikundi ni kikubwa sasa yupo Lipumba na mtu wake Dalali wabwaganga wa kienyeji anaitwa Abdalah kambaya, akina Le mutuz, Jerry Muro na wajinga wajinga wengine kibao, hicho kikundi hubuni Uovu, hujuma na Ubaya wa kila aina wanaandaa Bajeti na kumpekea Bashite kisha yy anaiwasiliaha kwa Mtukufu ambaye hutoa Amri kwa Doto wa Hazina kuwalipa mara moja, pesa za Umma zinatumika vibaya kwa mambo ya hovyo hovyo ni Ufisadi mpya umebuniwa na Wajanja kula pesa kwa kisingizio cha kuzitumia kuwadhalilisha kuwakomoa kuwabambikia kesi na kuwadhoofisha chadema.
 
Amezalisha akina Tundu Lissu wengi He has united Many tumejua wanafiki na wenye chuki ni wakina nani We hate them they will not enjoy life Because they now know that we know the truth
HAHAHA MIMI NDO NAZIDI KUWACHUKIA HAWA WATU WALAANIWE NA KIZAZI CHAO CHOOOTE SURA MBAYAA ROHO MBAYA AKILI MBAYAA WAMESHIIIIIIIIIIIINDWAAA IN GWAJIMA VOICE
 
idd Amin alikuwa mnyama kutokana na Ushauri wa mshauri wake mkuu aliitwa Maliyamungu ambaye alikuwa na Roho mbaya sana na sasa Huko Tanzania kazaliwa mjukuu wa Maliyamungu anaitwa Bashite huyo Maliyamungu wa Dsm ndiyo anamshauria Ushetani Vitu vibaya Mtukufu malaika toka Chato, hicho kikundi ni kikubwa sasa yupo Lipumba na mtu wake Dalali wabwaganga wa kienyeji anaitwa Abdalah kambaya, akina Le mutuz, Jerry Muro na wajinga wajinga wengine kibao, hicho kikundi hubuni Uovu, hujuma na Ubaya wa kila aina wanaandaa Bajeti na kumpekea Bashite kisha yy anaiwasiliaha kwa Mtukufu ambaye hutoa Amri kwa Doto wa Hazina kuwalipa mara moja, pesa za Umma zinatumika vibaya kwa mambo ya hovyo hovyo ni Ufisadi mpya umebuniwa na Wajanja kula pesa kwa kisingizio cha kuzitumia kuwadhalilisha kuwakomoa kuwabambikia kesi na kuwadhoofisha chadema.
NA WAMESHIIIIIIIIIIIIIINDWAAAAA AIBU ILIYOJE HAHAHAHA NAONA SAA HIZI WANAPANGA MENGINE WALE ALUBADILI ILIYOWAINGIA KICHWANI WAKAANZA KUBWABWAJA WAMEPOTELEA WAPI MBONA SIWASIKII TENA>
 
Ukitaka kula pesa za Umma kiulauni buni mbinu mpya ya kudhoofisha upinzani nenda nayo kwa Bashite Maliyamungu akiona inalipa ni mara moja anaipeleka kwa Mtukufu pesa inatoka hapo hapo wanapiga panga na ww kupewa chako, kwa sasa chadema ni Dili la kujipatia pesa toka kwa Mtukufu.
 
Waafrika matatizo yetu hatuyajui kabisa,Anachokifanya Lissu ni sawa na wapinzani wenzake wanachofanya ila ajabu Lissu ndio anaonekana shujaa kwa kufanya jambo lile lile ambalo wenzake pia hulifanya.
 
Magufuli mwenyewe tambo zimemushia kanyweya anajiuliza nini kilimpata kuidhinisha amiminiwe risasi Mungu hadhiwakiwi ni Doa kubwa kama unamuona kampuzika sisi tunamuona kaloa maana dunia inajuwA watanzania wanajuwa kuwa ni serikali ya wauaji wapoteza watu
Na manjonjo yoooote ya uteuzi wa zero kuwa aigipi na mbwembwe za kumng'oa mambosafi dodoma wameambulia patupu
 
HAHAHA MIMI NDO NAZIDI KUWACHUKIA HAWA WATU WALAANIWE NA KIZAZI CHAO CHOOOTE SURA MBAYAA ROHO MBAYA AKILI MBAYAA WAMESHIIIIIIIIIIIINDWAAA IN GWAJIMA VOICE
Bashite kala Tenda kubwa kimya kimya na kampuni yake ni Tenda ya kuwaleta Wachina kuja kufunga mitambo itakayozuia Facebook, Whatsapp instagram nk kuanzia asubuhi mpaka saa 11 jioni, hawataki instagram na fb kabsa ingawa mitandao mingine itaumia humo humo, hata Mtukufu alitamani Facebook ifutwe kabsa .
 
Back
Top Bottom