Tukio la Lissu ni 'game changer' kwenye siasa za Tanzania

sub
Kwa hakika nimeelewa kwanini Mungu aliruhusu Lisu apigwe risasi kinyama vile

Hakika Lisu hatakuwa yule waliye mzoea na Chadema hakitakuwa ile ya kulalamika au sijui tunalaani, itakuwa Chadema ya vitendo na sio maneno
subilini hapo hapo na akili zenu
 
maneno ya wakosaji mnajipiga risasa kutafuta kick za kisiasa na kutafuta huruma ya wananchi

Ni kweli Lissu kapigwa risasi na Mbowe basi waambie viongozi wako walete wapelelezi kutoka nje ili Bwana huyu akamatwe vzr mana hata yale ya nyuma amefanya yy
 
Tukio la Lissu kupigwa risasi sio dogo kama wengine wanavyodhani, waliohusika wasifikiri litaisha kama matukio mengine yanavyoisha na kusahaulika, kuwa ni upepo tu utapita, wakae wakijua hili halitawaacha salama wajipange kama hawajajipanga, Chadema wameamua na Lissu ameamua iwe isiwe ukweli utawekwa wazi.

Baada ya Kenya sasa linakwenda kuwa exposed internationally, lazima vyombo vya habari vya kimataifa vitataka kujua kwa undani sababu ya Lissu kupigwa risasi. Believe me Lissu sio mtu wa kunyamaza atasema kila kitu hadi kuwataja waliohusika kwa majina mtashangaa. Tulieni, Lissu sio Roma akirudi atazungumza kila kitu, "Mwenyekiti, I survived to tell a tale, keep up fighting", ataweka wazi kuanzia makinikia ya Acacia hadi bombardier ya Canada na mengine yaliyosababisha yeye kupigwa risasi.

Vyombo vya habari vya huko havitaishia hapo vitakwenda kiwandani Canada kutafuta ukweli, vitakwenda Barrick kutafuta ukweli na mambo mengine tusiyoyajua yatajulikana stay tuned. Tutegemee kumuona Lissu akihojiwa na waandishi mashuhuri duniani kama kina Richard Quest, Christiane Amanpour, Shaka Ssali nk.

Nilisema na narudia kusema tena Bashite atakuja kumponza rais Magufuli, nafikiri hata yeye sasa atakuwa ameanza kujuta kuwatumia watu wenye zero brain kwenye mipango yake ambao wanatumia nguvu kuliko akili.

Nifuatilie kwenye thread hii,,
Kama Rais Magufuli anamtumia Makonda kulipiza kisasi anakosea sana

Kwa mliopata bahati ya kusikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe jana, kwenye matumishi yake alikuwa bold alisema tukio hili limewaongezea ujasiri 'hawaogopi kufa lakini hawataki kufa kijinga na hawamuogopi mtu yeyote'. Kwangu yale yalikuwa matamshi ya kijasiri. Inaonekana siasa za Chadema zitabadilika baada ya tukio hili, mimi naweza kusema Tukio la Lissu "is a game changer" kwenye siasa za Tanzania and CHADEMA won't be the same again.

CCM wajipange kisawasawa kukabiliana na siasa mpya za wapinzan. Jaribio la kumuua Lisu linaenda kufungua kurasa mpya, na nina iman hizo siasa mpya zitaungwa mkono na hata baadhi ya wanaccm. Watu wa level ya magufuli kama akina Bashite, chakubnga, Hapi and Gambo ndo watabaki jukwaan.
 
Si ndiyo maana tunataka FBI ama Scotland Yard waje ili CHADEMA waumbuke wakijulikana kama wao ndiyo walimpiga risasi Lissu, kwa nini CCM ndiyo hamtaki kina Mbowe waumbuliwe?

Halafu wewe ujue kwamba CHADEMA "wamejipiga" risasi lakini IGP Siro na Waziri Mwigulu hawajui. Unadhani kama wewe mwananchi wa kawaida tu unajua kwamba kumbe ni CHADEMA ndiyo waliompiga Lissu risasi lakini wenye wajibu huo hawajui, unadhani Siro na Mwigulu wana sifa ya kuendelea kuwa kwenye nafasi zao?

Safi kabisa, jibu positive kwa wanaolewa!! Tatizo huyo uliemjibu sijui km ataelewa kitu hapo
 
NDIO MAANA MBOWE AKASEMA KAMA NI WAO WAMEJIPIGA RISASI.WACHUNGUZI WA KIMATAIFA WARUHUSIWE ILI WAONEKANE HAO WALIOJIPIGA RISASI NYIE MNAOGOPA NINI? WACHUNGUZI TOKA NJE? TUNA AKILI ZA KUTOSHA SISI SIO PUNGUANI.
This proves James Hadley Chase's novel titled the guilty are always afraid
 
maneno ya wakosaji mnajipiga risasa kutafuta kick za kisiasa na kutafuta huruma ya wananchi
Mtu wakujulikana Makonda AKA Bashite CCTV camera zikamuonyesha livu pia Ruge akamchana livu hawataki mazoe...wanatumia bunduki na masikali kutetsa watu vishabiki vijinga vinakuja nakusema wanajipinga risasi wenyewe!!
 
Kumbe alikuwa ni kibaraka wa ACACIA EEH?Kama ni hivyo tunaikubali ile theory ya jamaa kumtwanga risasi ili kutuondoa kwenye vita ya makinikia....
Kwani kuna vita ya makinikia? Walopitisha sheria mbovu za madini, wanajulikana. Walosaini mikataba mibovu ya madini wanajulikana.
 
Majeraha ya risasi alizopigwa na watu anaowaficha dreva ambae nae amefichwa huko Kenya
Dereva lazima afichwe kwani bado Nissan nyeupe ipo inasubiria aje wamteketeze ili kuficha Ushahidi maana aliwaona kipindi wanamimina Risasi. atajificha mpaka watakaporejea wote Tanzania.
 
maneno ya wakosaji mnajipiga risasa kutafuta kick za kisiasa na kutafuta huruma ya wananchi
mtu anayepakuliwa makalioni kwa madole lazima atakuwa na akili za kitoto namna hii hizi ndio propaganda unamdanganya baba yako unapomtkenya umesha mponza maana sasa atakuwa raisi wa kwanza Tanzania kuwa labelled the killer
 
Dereva lazima afichwe kwani bado Nissan nyeupe ipo inasubiria aje wamteketeze ili kuficha Ushahidi maana aliwaona kipindi wanamimina Risasi. atajificha mpaka watakaporejea wote Tanzania.
kwa hiyo Sirro ngebe zake ni Tanzania tu kwanini hatumii interpol kumleta huyo dereva kama yeye na makonda hawahusiki
 
Kumbe alikuwa ni kibaraka wa ACACIA EEH?Kama ni hivyo tunaikubali ile theory ya jamaa kumtwanga risasi ili kutuondoa kwenye vita ya makinikia....
nafurahi kwamba mwakani ukiwa mkuu wa mkoa basi baba yako atakuwa uzi wa mpira wa moyo umeganda lakini kwa sasa video mbili za ujambazi wako zitawekwa wazi the assasin ile ya clouds na hii ya Lissu patamu hapo mtoto wa watu unajikosha
 
Si ndiyo maana tunataka FBI ama Scotland Yard waje ili CHADEMA waumbuke wakijulikana kama wao ndiyo walimpiga risasi Lissu, kwa nini CCM ndiyo hamtaki kina Mbowe waumbuliwe?

Halafu wewe ujue kwamba CHADEMA "wamejipiga" risasi lakini IGP Siro na Waziri Mwigulu hawajui. Unadhani kama wewe mwananchi wa kawaida tu unajua kwamba kumbe ni CHADEMA ndiyo waliompiga Lissu risasi lakini wenye wajibu huo hawajui, unadhani Siro na Mwigulu wana sifa ya kuendelea kuwa kwenye nafasi zao?
Magufuli na Mkonda wake wakisikia FBI na Scotland Yard wanabanwa kisawasawa hivi yule mzee kwa sababu ana uzito wa lightweather kuna nini ha ha wanafanya assasination atempt huku wakijuwa hawana akili hata yakutuliza mizuka ya wafuatiliaji wa mambo ndani ya vyombo vyao jamaa anazungukwa nyuma kila kitu kipo wazi na vimesambazwa kote huko jamaa mshamba kweli dunia imemuache yeye na Kagame na Museveni what a shame
 
Back
Top Bottom