Habari za muda, ndugu zangu.
Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...
Ujue kwenye hii dunia Lugha ya mawasiliano Worldwide is English ila sisi Tanzania tunaendekeza sana Kiswahili.
Watu tukienda huko nje tunashindwa vingi coz our English ni poor kabisa mm ningekua Rais ningeamua Kiingereza kitumike kufundishia kuanzia primary mpaka University.
Ujue mimi...
Fei toto kashaanza yake tena analamika mapenzi wakati kuna dada yupo TikTok alisema yupo tayar kumpa fei penzi akitaka mda wowote halafu anazingua yy ni Mchezaji mkubwa madem wanamuelewa sana kwa nn ateseke wakat ana uwezo wa kupata utelezi mda wowote yy ni staa pia ana pesa
Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
Habari za muda,
Mimi ni kijana wa miaka 23 nimekuwa na uraibu mkubwa sana wa kamari (kubeti). Nilianza kubeti tangu 2015 kipindi nipo Form 2 kipind Primier Bet inaanza wale wa vikaratasi then nilistop kwa muda ila wakati nipo form 5 nikarud na uraibu ulianza.
Japo nilishawahi kushinda...
Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu.
Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine.
Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi...
Mimi ni kijana wa miaka 23, ni muathirika na muhanga wa kuangalia video za ngono, namaanisha "XXX videos".
Natamani kuacha, kila siku nachafua mashuka baada ya kuzingalia napambana sana but nashindwa.
Naombeni ushauri ili niache niwe kama vijana wengine.
Mm ni muhanga wa Alliance in Motion Global walikua na project yao wanaita Economy Driver mwaka 2021 nilipokua nipo mwaka wa 2 chuon UDOM nilijiunga kwa mtaji wa 360K niliendaga ofisini kwao Majengo sokoni nilishawishiwa na hao watu wa hyo kampuni mm nilipelekea ofisini na rafik angu niliekua...
Hyo BED Psy ni nzur utasoma ualimu wa masomo yako mawili ya kufundisha pamoja na psychology ww una bahat umechaguliwa coz nzur alaf unataka vitu visivyoeleweka course za ualimu ni nzur
Kuna manzi mmoja alikua n mwanachuo wa UDOM siku moja nilivyofika pale Ofisini kwao kwenye semnar majengo sokoni seminar ulivyoisha alitoa pesa yote ya ada aliyopewa km 360K ili kukamilisha mtaji baada ya seminar wakaanza kusema huyu ndo champion mpk akasema nimeamua kujisacrifie pesa ya ada...
Jamani wana JF nina swali nataka kufahamu kuna yoyote anaeifahamu hii fursa ya biashara ya Economy Driver under Alliance in Motion Global wana ofisi pale Mikocheni nilihudhuria seminar yao nkaona wana mafanikio makubwa asa mm sielewi je nijiunge au vip maana nimepata shuhuda nyingi.
Kingine Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.