Recent content by dulah msabato

  1. dulah msabato

    Mwanamke unapomwambia unampenda anakujibu "ahsante"

    Dah mm mwenyewe imenitokea mara kibao najibiwa hivyo na ki ukweli huwa najisikia vibaya nahic km mwenzangu hanipendi vile!! cjui huwa wana maana gani ila linakatsha tamaa.
  2. dulah msabato

    Jew warms blacks

    Ni ukweli unaouma sana,tulioupata tubadilike na tuwaeleze wenzetu.
  3. dulah msabato

    Transfer ya chuo

    Poa mwana nimekuelewa ahsante sana.
  4. dulah msabato

    Jamaa kamuweka wa akiba, nae mdada kamfanya wa dharura

    Amen hiyo ni kweli kabisa tuweni makini na maisha yetu ya mahusiano.
  5. dulah msabato

    Transfer kwenda Private

    Cjui kwa kweli: nambie umefanyaje transfer na mm nifanye.
  6. dulah msabato

    Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    Mi naona bora uende board ku appeal tena wanweza kukuongezea kijana.
  7. dulah msabato

    Kama si Mbowe, basi mtoto wa Mbowe, kama si Kafulila, basi mjukuu wa Kafulila n.k

    Ok lakn je hao watoto wao wameishi kama sisi watanzania masikini? wamesoma shule za kata? wanaujua UMASIKINI? wao wamekulia kwenye maisha ya raha so cdhani km watakuwa na uchu wa kuwatetea masikini.
  8. dulah msabato

    Kama kweli unanipenda tukapime UKIMWI

    Mtu wako akikubali kupima anaongeza uaminifu kwako na utampenda zaidi so kupima ni jambo la msingi.
  9. dulah msabato

    HESLB naombeni ufafanuzi kwenye hii 8500 ya MA

    Mkuu ht mm cjawaelewa tcu,au labda wanaangalia chuo na facult ya mtu.
  10. dulah msabato

    Mapenzi yanapoteza utamu wake siku hizi

    Ni kwa sababu ss hv watu wanaangalia zaidi kitendo cha ngono kuliko upendo wenyewe kutoka moyoni so tamaa ya mwili imezidi upendo halisi,na kibaya zaidi hawamshirikishi Mungu katika kuwapata wenzi wao,na money power kwa girls nayo imechangia sana.
  11. dulah msabato

    Utafiti wangu kuhusu hili Jukwaa

    Yani ulikuwa unataft idadi ya ke na me tu..! na mengine ulyogundua ni yapi?
  12. dulah msabato

    Unatokea mkoa gani?

    Mi wa MARA.
  13. dulah msabato

    Transfer ya chuo

    duh mwana mi npo bugando ila nlipenda dom.
  14. dulah msabato

    Transfer ya chuo

    Jamani mi nimeshfanya regstrn chuo nlichopangiwa je ctaruhusiwa kuhama tena? nisaidieni tafadhali.
  15. dulah msabato

    Nahisi nimetongoza jini

    Je ni mcha mungu?
Back
Top Bottom