Kama kweli unanipenda tukapime UKIMWI

Kama kweli unanipenda tukapime UKIMWI

ukiona mtu anapenda kupimapima ukimwi, maana yake anajua anachofanya. na huyo atakuwa malaya.

hapana inategemeana kwani ukimwi mpaka ngono tu mbona kuna njia nyingi tu kwanini tunakimbilia kwenye ngono tu kama source ya ukimwi pekee
 
Kamwe SIWEZI KUMWAMINI MTU HATA KAMA TUMETOKA ANGAZA KUPIMA siku hizi watu tumekuwa wanyama sana. Mnaenda kupima mnakuta fresh kumbe mwenzako kabwia sijui midawa gani ile unaona umepata kumbe umepatikana...
"HAPA NDOM TUU"
 
Hapo ndio mitihani inapokuwa mikubwa maana hakuna mtu ambae anataka kwenda kufia kwa doctor mlangoni
 
Mtu wako akikubali kupima anaongeza uaminifu kwako na utampenda zaidi so kupima ni jambo la msingi.
 
Kamwe SIWEZI KUMWAMINI MTU HATA KAMA TUMETOKA ANGAZA KUPIMA siku hizi watu tumekuwa wanyama sana. Mnaenda kupima mnakuta fresh kumbe mwenzako kabwia sijui midawa gani ile unaona umepata kumbe umepatikana...
"HAPA NDOM TUU"

Ukiolewa je?
 
Kuolewa fresh hata ukiukwaa mnajilea wenyew sasa unakuja kupata kwa ligume gumambalo hata halina mpango wa kukuoa..

Hata kwenye ndoa, kupata ukimwi nifedheha sana.
 
Kamwe SIWEZI KUMWAMINI MTU HATA KAMA TUMETOKA ANGAZA KUPIMA siku hizi watu tumekuwa wanyama sana. Mnaenda kupima mnakuta fresh kumbe mwenzako kabwia sijui midawa gani ile unaona umepata kumbe umepatikana...
"HAPA NDOM TUU"
wazungu wanavyopenda sifa ndom zenyewe washazichakachua cute b haziaminiki kabs unaweza kutumia ukashangaa umeukwaa mi naona bora kupima tu
 
wazungu wanavyopenda sifa ndom zenyewe washazichakachua cute b haziaminiki kabs unaweza kutumia ukashangaa umeukwaa mi naona bora kupima tu

Unajua kwa nini wanasema urudi baada ya miezi 3?

Ni kwamba kama ulifanya juzi ukaupata ukipima leo hauonekani ila unaweza kumwambukiza mtu.

So muhimu ni kuacha zinaa.
 
Hivi dunia ya sasa kuna watu kweli wanaingia kwenye mahusiano pasipo kupima ukimwi!

Wapoo wengi tuu kama mtoa mada alivyosema ni sahihi wanaume wengi kwa asilimia kubwa ni watata sana wakiambiwa suala la kupima H.I.V
 
Kuna maradhi mengi Sana ukiacha ukimwi kuna hadi magrupu mengine ya damu mkioana kupata watoto inakua ngumu watu hatuelewi tumekomalia ukimwi me napima bila kushurutishwa and f.y.i nimepima mwezi huu WA kum na moja narudi mwezi WA pili mwakani roho zikowa hai

Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu hayo magroup ya dam
Asee yaani inakuaje mpka ishindikane kupata mtoto?
 
Kamwe SIWEZI KUMWAMINI MTU HATA KAMA TUMETOKA ANGAZA KUPIMA siku hizi watu tumekuwa wanyama sana. Mnaenda kupima mnakuta fresh kumbe mwenzako kabwia sijui midawa gani ile unaona umepata kumbe umepatikana...
"HAPA NDOM TUU"

Kuna wengine kamhonga docta ili aseme hana h.i.v in reality anao dunia hii acha tuu
 
Kamwe SIWEZI KUMWAMINI MTU HATA KAMA TUMETOKA ANGAZA KUPIMA siku hizi watu tumekuwa wanyama sana. Mnaenda kupima mnakuta fresh kumbe mwenzako kabwia sijui midawa gani ile unaona umepata kumbe umepatikana...
"HAPA NDOM TUU"

Na kwenye kulamba mate na mambo mengine napo mnavaa ndom?
 
mademu wengi wanaojifanyaga hawatoi k bila kupima mwisho wao humegwa kilaini sana kwamaneno matamu tena nyama kwa kwa nyama, niko na mifano hai mingi tu!
 
Duuu.....nilipata mshefa mmoja nikampga pesa nikabania mzigo kwa madai tukapme ngoma kwanza nikijua atagoma ndo kwanza kesho yke faster kaja n vpmo ananiambia tupme Anile mzigo n Mimi kupma naogopa balaa maana ukimwi siyo malaria kwamba ntapga mseto nikabaki nambwelambwela tu....mzee akashtukia nahic no yng alifuta maana hajawah hata kubpu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom