Kwa nilivyoelewa kutokana na tangazo lao TCU, tarehe hiyo ndio mwisho wa watu ku-apply transfer, ila sijui kama majibu yanatolewa baada ya tarehe hiyo!!!
asante ndugu nimekuelewa
Kwa nilivyoelewa kutokana na tangazo lao TCU, tarehe hiyo ndio mwisho wa watu ku-apply transfer, ila sijui kama majibu yanatolewa baada ya tarehe hiyo!!!
JAMANI HIZO TRANSFER LABDA TUMTUME HAPA KAZI TUU AENDE HUKO TCU MAANA NIMESHASHTUKIA MCHEZO WAO HAWA JAMAAA. Utalipa iyo 30 utafanya transfer lakini kupata ni ndotoooo. Mfano nimeenda chuo kimoja wanasema hakuna nafasi za kuhamia MD. Ila tungoje CAS ikifunguka utaona nafas kadhaaa cijui watatuambia "HAPA KAZI TU" 30 utalipa na nafasi hutopata.

chuo gan hicho kaka ili nisiende maana nimehaha balaa...had kairuk kimejaa
Poa mwana nimekuelewa ahsante sana.
Hapana ndugu,yaani Ni hivi: mwisho wa kuomba transfer Ni tar 02/12/2012,,,CAS ikishafunguka watu wataomba transfer Na ukishaomba utakuwa Si peke yako ulioomba kwa siku mtakuwa wengi.kwahiyo watakachofanya Ni kwamba utapewa majibu yako ya kuwa umechaguliwa Chuo gani kupitia PROFILE yako ya TCU Na haita gharimu zaidi ya siku tano,kwahiyo kuwahi kwako ndio majibu yako yatawahi. Hivyo usishangae wewe umepata majibu yako ya transfer wakati huohuo wengine wanaomba.