Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sio kwamba nguo zitalowekwa....!
Ukarimu wetu ndo hupelekea kufanya hayo
Sio kwamba nguo zitalowekwa....!
Ukarimu wetu ndo hupelekea kufanya hayo
Nitarudije siku hiyo hiyo sasa kama ukarimu utaloweka nguo 😀
Hiyo slogan unapewa ili uende, ukifika ndo yatakukuta hayo ya kuloweka nguo. Tunapenda wageni
Ahsante..na imani nikija kwenu uko kwenu misambweni..mikanjuni..nguvumali zangu kabisa uziloweke na foma gold...
Lol yamekuwa hayo
Kanji - Laso
Ila magufuli asije akawabadilisha badala ya Tanga raha ikawa hapa kazi tu!
Manyoni Tanganyika
mji kasoro bahari