The forgotten.
Bonge la muvie,mama na wanae2 wanaishi kweny mansion na hawajui kuwa wao ni maghost...ni muvi ya 2002 kama sikosei ila ni bonge la plot
Sent using Jamii Forums mobile app
Me too,yaan nikipata lunch then nilale hapo ntajiona nko macho halafu naona kila kitu jla nashndwa kujongea,watu wa kando yangu nakuwa nawasikia vhema ila siwez kuwacontact...inaogofya kweli.
Tahadhar! Kuwa makini sana maana nyumba nyingine zinahistoria ya mambo nguvu za giza so ni vizur ukapeleleza na kuijua nyumba vyema kabla hujainunua,ilishatutokeaga mimi na familia yangu,yaani ikifika usiku tu hofu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.