Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

(Ishu watu washushe broker makini na eaukweli na faida zake na criteria/condition tamu alizonazo thn beginner atafanya comparison na huyo broker wa mwalimu wake)
Elimu kwanza, Inatakiwa wewe binafsi ufahamua ABC's za broker: Forex Broker Types: Dealing Desk and No Dealing Desk , Hivyo kwa anayeanza akishakuwa na ABC's za aina za broker, hatoweza KUSHINDWA kujichagulia broker mmoja kati ya mamia ya brokers

(Tatizo la WaTZ wengi hawataki kutumia muda mwingi kufanya tafiti na kujifunza kwanza juu ya jambo fulani.)

Pili: Rejea comment no.3 na no.4 hapo juu - Imegusia kila kitu muhimu hadi vigezo vya kuzingatia.
 
Mkuu naomba niseme unajua unachofanya. Kula tano. Safi sana , I like your approach.
Hongera kwa hii hatua kubwa uliyo ifikia.

Company:Templer Holdings Management Limited

Country: SVG ( Saint Vincent and the Grenadines )

Regulation: FSA SVG

"TemplerFX is yet another of the hundreds offshore brokers with a flimsy regulation. This time it is provided by the Financial Services Authority (FSA) of Saint Vincent and the Grenadines, but generally it does not mean the broker is reliable and provides proper client protection."

'More often than not, those brokers are a scam defrauding clients out of their money, so it is best to avoid dealing with them. There are proper and reliable brokers, particularly the ones regulated by UK’s FCA or the Australian Securities and Investment Commission (ASIC), who offer good trading conditions and are much safer to deal with.' Chanzo: https://bit.ly/2Qgg8vS

Je tunajifunza nini kwenye hizi quotes mbili?
Je ni vigezo vipi vitumike kuchagua broker? - Angalia picha hapo chini mfano wa vigezo husika, nimewekea alama vigezo vitatu muhimu zaidi vya kuzingatia


1. Inatakiwa ujue ABCs za broker sahihi, 6 Crucial Things to Consider When Choosing a Forex Broker
2. Baada ya kuwa umejua ABCs za broker bora kinachofuata ni kutafuta broker sasahihi kwa kutumia hii broker Search engine: https://bit.ly/2Qg7362
View attachment 880863
Je bado unapata shida ya kuchagua broker sahihi.?

Kama jibu ni ndio chukua broker mmoja wapo kati ya hawa: ECN BROKER - MT4 ECN Forex brokers - FX-C.com

Pata elimu zaidi kuhusu aina ya brokers hapa: Types of Retail Forex Brokers: ECN vs DMA vs STP vs Market Maker - FX-C.com

Kamwe Usitumie kigezo zaifu cha eti deposit na ku_withdraw unatumia mpesa, Hakikisha unatumia vigezo stahiki.

Hsara kubwa iko kwenye spread (floating spreads) ni kubwa sana.
Mbaya zaidi wakati wa News.

Moja ya jambo gumu na muhimu zaidi katika forex ni kutambua na kuchagua broker sahihi.

Kwa broker yeyote utakaye mchagua angalia kwanza watumiaji wanamzungumzia vipi huyo broker hapa: Forex Reviews | Find Forex Broker or Forex Service - Forex Peace Army

Hii video itakupa mwanga zaidi kuhusuaaina ya brokers
 
Salaam Wakuu
Baada ya kusota na demo account kwa miezi mitatu na nusu hivi sasa soon nitaanza kutrade live , naomba kupata taarifa sahihi za huyu broker kama yupo regulated na board yoyote, Headquarter za huyu broker na hasara na faida za huyu broker.

Angalizo: Uzi huu ni kwa wadau wa forex tu.
0744544399,, Mkuu naomba tuwasiliane whatsap,nipaje maujuz kidogo,maana ndo kwanza naingia
 
Ofcoz ili watanzania tuendelee kiuchumi ni muhimu tupeane makavu live bila kupepesa pepesa macho wala kubwabwaja bwabwaja maneno au kuandika msururu wa maelezo angalia hichi angalia hichi..
Me ata nikiangalia effect yake naijulia wapi by then ndio first time naiona

(Ishu watu washushe broker makini na waukweli na faida zake na criteria/condition tamu alizonazo thn beginner atafanya comparison na huyo broker wa mwalimu wake)
https://www.top8forexbrokers.com/uk/
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Broker yeyote utakayetaka.

Je unajua kuhusiana na Mpesa - Mastercard??? , Kama hili unalijua basi broker yeyeote duniani waweza deposit na ku_withdraw kwa kutumia simu (Ukiwa na laini ya Voda)

ANGALIZO kuhusu Mpesa - Mastercard
- Hiyo ni vitual card
- Life span yake ni fupi
- Hivyo hakikisha unaiongezea ukomo wa matumizi yake kwa kufuatisha menu sahihi kwenye simu yako.
Mbona trader wengi wanalalamika kwamba hii Huduma huwezi kutuma kwa broker
 
Kuna mshikaji anafundisha forex. Utampata kwenye mtandao wa www.ajiras.com

Kuna mafunzo ya siku 8, siku 20 na siku 30.
Best%20Forex.jpeg
 
Wana office posta kuwa regulated sina uhakika sana ingawa hayupo kwenye list ya broker wazuri. Hasara ni market maker mzuri tu mwenye surprise nyingi sokoni, faida ni uharaka wa deposit and withdraws ukitoa pesa dakika 1 imefika.
Kwa sisi scalpers tunaenda hotel bila pesa unagiza msosi unascalp fasta unatoa unalipa hapo hapo .
Almost 98 asilimia ya traders bongo wanamtumia.
nimecheka sana kwasababu mi ni sclaper mzuri tu aisee forex inautamu wake nyie asikuambie mtu haha tunaenjoy sana
 
Waweza kutumia moja kati ya hivi na vinakubalika
- Bank statement ( Iwekewe physical address yako, fika benki tawi husika wape physical address unayotaka itokee pindi wanakutolea bank statement)

- Kiapo cha mahakama -kulingana na oaths and statutory declarations act, cap. 34 r.e 2002 ( - AFFIDAVIT REGARDING RESIDENCE) - Waone wahusika wakutengenezee
Ref: https://bit.ly/2RadoBj

- Utility bills - Huwa na physica address, pia inakubalika.
utility bills iwe na jina sahihi lako
 
templer sometime huwa ni mshenzi mshenzi kunatime nilikua natrade na mabroker wawil tofauti pair Eurjpy kwa broker huyu pair inatembea ipo kama 20pips down ila templer ye kastack kama ina consolidate mara galfla ikafumuka naona ni server zake hazipo friendly
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
Mmmmmh hii biashara ina wapigaji wengi hadi mtu unaogopa kuingia
 
Back
Top Bottom