Shumileta na Nsyuka ni muvi za karne.. Bongo hakutakuwa na muvi kama hizi tena

Mara ya kwanza baada ya kuiangalia chite ukae home umeme ukikatika tu mida ya night palikua hapakaliki duh! enzi hizo VHS tape. please Sultan Tamba rudi uwakalishe hawa wapya wasiojielewa jamani.
 
Aalitisha sana Sultan Tamba.
 
Hivi yule mdada aliyeigiza ni Shumeleta mwenywe.. A naitwa nani, Bado yupo hii bongo..
So nilimwelewa sana toka kitambo
 
Back
Top Bottom