Anayeifahamu hii series

Anayeifahamu hii series

Jina na maudhui nimesahau!!!!!!!!!!!!
Ni ya miaka michache tuuu iliyopita.Ilikuwa inaonyeshwa ITV.Nakumbuka starring alkuwa anauwezo wa kujibadilisha kuwa bonge la tiger.Pia alikuwa ana ndege,tai,ambaye alkuwa anamtumia kuchunguza maeneo mbalimali.Dah!!!!Nilikua naichek kipind kile under 10!!!!!!
Anayeikumbuka naomba anitajie jina.
Inaitwa Beast Master
 
Dah!!!!!mkuuuu umeikosha sana roho yangu!!!!ndo hiii hiii yan.........[emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji106] [emoji108] [emoji108] [emoji111] [emoji111] [emoji120] [emoji120] [emoji121] [emoji121]
Umefurahi kweli mkuu,hii ndio JF bhana lazima upate kitu roho vile inapenda....enjoy!!!!
 
Mwenye series ya IF LOVING YOU IS WRONG msaada tafadhali..inanisumbua sana kudownload
 
Back
Top Bottom