Wasalam wana bodi;
Kuna wazo ninalo, niina mpango wa kuuza viatu vya mtumba kwa kutumia baskeli, mfano Kama wa zile za Azam wanazouziaga Ice cream.
Ipo hivi;
Nataka kuunda baskeli kwa mfumo ule lakini juu natengeneza vizuri kwa kutumia Alminium na vioo, then napanga viatu. natafuta mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.