Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,230
- 3,332
Jioni ya leo umeanzishwa uzi huu hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-ripoti-ya-escrow-kujadiliwa-bungeni-15.html
Ukijaribu kututoa katika mapambano yanayoendelea dhidi ya wezi wa Escrow,
Marandu amethibitisha kuwa taarifa hizi ni za kizushi,Mbowe yupo njiani toka south Korea ili kuongeza nguvu kuhakikisha mjadala wa escrow unafanyika na Mungu akipenda kesho atakuwa bungeni.
Hakuna kesi ya IPTL iliyofunguliwa leo, jana ama juzi,
Kwakuwasaidia tu, nikuwa kila mtu na asimame ahesabiwa,
Hawa ni sehemu nyingine ya wanufaika wa escrow
Salute kubwa sana Mkuu Yericko Nyerere, kuna wahuni mtandaoni wanataka kumchafua mpambanaji wetu Mbowe