Recent content by Dude lao

  1. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Msaada: AC ya gari kusababisa ukungu/unyevu kioo cha mbele

    Hiyo AC mitego yake imefyatuka inakwenda opposite direction,au pia fanya kama alivyoshauri Zinyalulu ukishidwa kama upo dar nenda kinondoni karibu na makaburini maeneo ya UGO pale huwa kuna mafundi wazuri wa a.c..
  2. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatukufundishwa haya?

    Upo sahihi kwa haya ulioyaeleza,wewe ulitaka wafundishwe ili wajifunze nini? Lakini naamini tukio lile alikuwa kama la Burundi, maana Burundi ndio unaweza kusema watu wajifunze maana ilionekana serikali imeyumbishwa karibu wiki nzima, lakini kwa Tanzania hata dakika moja haikufika sasa watu...
  3. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Dereva anayepita service road anavunja sheria gani?

    Mtoa thread hii unatakiwa kujua kwanza tofauti ya barabara kubwa,za kati na service road,kisha tuanze mjadala
  4. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Sauti Sol Nerea

    Hupo sahihi kiongozi,mtoto anatambulika tumboni tangia wiki nane
  5. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye programu ya Stata 11

    Panel mkuu
  6. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye programu ya Stata 11

    Kiongozi kama ukikaa vizuri na pc yako naomba uni beep
  7. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo kwenye programu ya Stata 11

    Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)
  8. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Mungu uwapokee wote waliopoteza maisha siku hiyo
  9. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mangi anapiga hesabu za wapi hizi?

    Lengo ni kwamba matangazo yenu mjitaidi kuyafanya kila mmoja ayaelewe maana watoto wetu wanajifunza kujumlisha sasa mnawapa tabu sana,kama kuna discount mseme maana mtoto wa chekechea ii umwambie hiyo hesabu ina punguzo unaweza kufanya achukie hesabu kabisa
  10. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mangi anapiga hesabu za wapi hizi?

    Mangi hakusema hilo yeye alisema jumla 65,500/=kisha akamwambia kwani wewe umejipangaje,kijana akasema ana buku tu,kisha mangi akamwambia ndorobooo we hiyo buku si ukanunue gazeti ujipepee
  11. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu Mangi anapiga hesabu za wapi hizi?

    Jana mwanangu aliniuliza baba unalijua lile tangazo la airtel,nikamuuliza mwanagu ni lipi hilo,akasema lile linaanza na kijana anasema hili duka limejaa nitapata kila kitu,mangi anaitikia karibu kijana. Kijana anauliza body spray,mangi anasema 15,000,feni mangi anajibu panga boy 50,000,kijana...
  12. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Vyuo vyote vigome ila sio Mzumbe

    Mzumbe ni nomaaaa,chuo makini sana kile
  13. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Ukiona tabia hii ujue mambo si mambo

    Duuu napita tu hapa maneno mazito
  14. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Maelezo binafsi ya Emmanuel Adebayor kuhusu mgogoro wake na Familia yake

    This is very shame for African people
  15. Dude lao

    JamiiForums Tanzania Zari All White Party: Diamond kuzindua TV station yake mei 1 Mlimani City

    Nasikiliza xxl ya Clouds fm ndipo habari ilipo wadau,huyu kijana nimiongoni mwa vijana wanaojua nini wanafanya katika tasnia yao ya music
Back
Top Bottom