Recent content by dtj

  1. dtj

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mkuu! Umeshusha kutoka site gani kaka?
  2. dtj

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Wakuu. Mbadala wa Awafim ni nini? Nipate site nzuri nishushe mizigo kwa mb chache
  3. dtj

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mimi nimeitizama episode 2 nikaifuts kabisa. Imepooooa sana.
  4. dtj

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe muongozo wa lugha rasmi za kufanyia siasa, Lissu anafanya siasa za kikabila Singida, anatumia lugha Kinyaturu

    Mkuu hapo hajahalalisha kosa, amefanya rejea. Sasa wewe mjibu kwakutumia rejea. Ndio mijadala inaenda hivi.
  5. dtj

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Awafim.tv
  6. dtj

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Ukipata tikitimaji hapo shughuli imeisha[emoji3]
  7. dtj

    JamiiForums Tanzania Fani ya tehama kuwa kama utapeli

    Unahoja nzuri! Tatizo uwasilishwaji wake!
  8. dtj

    JamiiForums Tanzania Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

    Passport ni jambo rahisi kupata! Na kama kuna changamoto basi kwenye mfumo kuna namba za simu. Wewe utafutwe kwa lipi? UTAPELI!
  9. dtj

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

    Kwani mwaka si unaishia June? Kiserikali na pia ki asasi. Hivyo piga hesabu ulisajili mwezi gani kwa zaidi Njoo pm tuelekezane.
  10. dtj

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa huduma ya internet gharama zake zipoje?

    Mbezi Louis mmefika.?
  11. dtj

    JamiiForums Tanzania Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

    Yesu mwenyewe anasema imetupasa kuomba bila kuchoka, Mungu kupitia nabii isaya anasema tumkumbushe, tujadiliane atupe haki yetu. Wewe unasema tunakosea? Hii imekaaje?
  12. dtj

    JamiiForums Tanzania Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    Naomba kujuwa! Una kiwanda? Au lengo la kujua haya ni nini?
  13. dtj

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Certified tapeli.
  14. dtj

    JamiiForums Tanzania Muda wote tu unawaza Kusafiri 'Majuu' kwanini huku nyuma Wajanja 'wasikupige' na Kujitajirisha?

    Nyie wote ndio wanyonge aliosema mwenda zake. Yaani mmekaa mnamuangalia anawafanya yote haya?
  15. dtj

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislamu ni watu waliopotea njia hasa kwa Afrika, kiufupi hawajielewi

    Kwani wapi kasema hakubaliani na Elimu au maarifa haya. Hoja yake ni dini tuu. Kwani vidole vyote vinafanana?
Back
Top Bottom