Mbona nyinyi viongozi cc ndio tumewaajiri nikisikia mwanasiasa anasema tujiajiri wakati yeye alipiga magoti na push up...kutuomba ajira tukamwajiri
Tumewaajiri mtutumikie sio mtuoneee kauli zenu zinaitaji busara sana kwa wananchi
Ajira ngumu Tz wewe profesa na dr unaenda bungeni wakati...
Mimi cjaelewa utakuta kaiba 85K wabobgo mnaconvert K to M acheni hizo milioni 85 co rahisi kuibwa na mtu mmoja bila njamaa
Hapo cpandi gari yenu kadanganye kagera
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.