Hongera Rais Magufuli kwa kutupunguzia mabishoo mtaani

mm1

JF-Expert Member
Aug 17, 2014
569
170
Usawa huu wa mh magu nmeupenda sana, mabishoo wamepungua kwa kasi sana waliobaki ni vichwa ngumu kweli kwao somo la nyakati walishafeli totally.

Ama kweli mia tano tutaacha kuiita jero, book tutairudishia utukufu wake wa kufahamika kama sh.elf moja.

HAPA MSOTO TU.
 
Pamoja na watu kufulia.

Subiri bei zianze kupanda kwenye kila kitu mtaelewa tu, kutuma pesa mkato, kupokea mkato, itafika time mtasikia ukipiga simu au kutuma vocha mnakatwa wote wawili, unayempigia na mpokeaji.
Serikali imechachamaa kwenye kukusanya pesa kutoka kwa masikini.

Hehe US nilikua nawakubali kwa tax ila bongo wamekua balaa, kuna viji-tax kila kona, vinyongeza vidogo vidogo vingi. US wao wanawapiga sana matajiri kuliko masikini, ila bongo masikini wanakabwa si mchezo.
 
Acha hizo sharobaro mbona kila kitu kiko juu?
Masharobaro mtakaa Mwaka huu
 
Usawa huu wa mh magu nmeupenda sana, mabishoo wamepungua kwa kasi sana waliobaki ni vichwa ngumu kweli kwao somo la nyakati walishafeli totally.

Ama kweli mia tano tutaacha kuiita jero, book tutairudishia utukufu wake wa kufahamika kama sh.elf moja.

HAPA MSOTO TU.
Sio hizo tu kuna mpya yaja ukiuliza salio wanakata na ukiandika neno kwenye chochote hata hapa jf kila neno pesa
Tutakoma safarii hii tunataka kuvunja rekodi ya dunia kwa kukusanya kodi
Ikibidi hata kujamba pia utalipishwa faini ya uchafuzi wa mazingira
 
Hata bado ngoja ulipishwe vat ukitembea mitaani ndio utajua kama ccm ni ileile maana hamna akili hasa hivi vizee vya vijijini
 
Vjjn ndo wapga kura wa ccm wanalilia nn wakati waliipenda wenyewe? Chaguo lao wenyewe nk?

Twende hvhv mpaka 2020 ili tujionee tena wanapga kura wapi!
 
Bei za smartphone zikiongezeka tumekwisha, tulikuwa mabishoo sasa hivi tumekuwa gangstar
 
Usikute ulikuwa na Dada halafu vijana wa mjini a.k.a vijana wa Bongo Fleva kutwa wanashinda nyuma ya fensi yenu ya michongoma.
 
Pamoja na watu kufulia.

Subiri bei zianze kupanda kwenye kila kitu mtaelewa tu, kutuma pesa mkato, kupokea mkato, itafika time mtasikia ukipiga simu au kutuma vocha mnakatwa wote wawili, unayempigia na mpokeaji.
Serikali imechachamaa kwenye kukusanya pesa kutoka kwa masikini.

Hehe US nilikua nawakubali kwa tax ila bongo wamekua balaa, kuna viji-tax kila kona, vinyongeza vidogo vidogo vingi. US wao wanawapiga sana matajiri kuliko masikini, ila bongo masikini wanakabwa si mchezo.
Kipamo cha maisha magumu tunajisubiria December wakati watu watakapoenda kuhiji .
 
Back
Top Bottom