Jitihada Za Mh. Rais VS Mitazamo Ya Wasomi Mishahara Wa Jamii Forum

Mutagairwaa

Member
Sep 9, 2014
8
5
Kama Kuna Kipindi Ambacho Ww Msomi Unatakiwa Kujifunza Kutengeneza Kipato Huru Kwa Kujiajiri Basi Muda Ndio Huu. Kama Hamtataka Badilisha Hizo Mindset Wengi Wenu Mtashinda Jamii Forum Kutukana Viongozi Kwa Miaka Mingi Na Mtachobadilisha Ni Status Za Umember Tu Hapa JF Na Si Zaidi . Mh Rais Nampongeza Kwa Jitihada Zake Za Kutuwekea Mazingira Mazuri Wajasiriamali Kuoparate, Mafaini, Rushwa Na Makodi Yasiyokuwa Na Tija Kayaondoa Sasa Tunalipa Kodi Stahiki, Soko Tunaliona, Malighafi Zimepungua Bei Hakuna Wenye Mahela Ya Ovyo Yaliyokuwa Yanaongeza Bei, Usalama Wa Mali Zetu Umeongezeka, Nyumba Za Wageni Tunazolala On Business Trip Sasa Ni Nafuu, Hata Huko Mabenki Tunakohifadhi Mitaji Yetu Midogo Tunapewa Huduma Nzuri Kulinganisha Na Kipindi Kile Cha Mahela Mengi Yasiyokuwa Na Tija. Sasa Ww Endelea Kusubir Hizo Ajira 200 Za Serikali, Mnaozitaka Mpo Zaidi Ya Mil 10. Sisi Tunaendelea Kukomaa Siku Mkizipata Hizo Ajira Si Tutakuwa Na Viwanda. Tutawakaribisha Kuja Kufanya Study Tour, Hili Mtukosoe Kama Kawaida Yenu.
 
Watu Mil 10 kukosa ajira ni makosa ya serikali kutojali mustakabali wa watu wake.
Ni sawa na kusema wapiga kura wote wanaishi kwa shida mwaka mmoja baada ya uchaguzi.
Serikali ya namna hiyo lazima itakosolewa na wengi.
 
Ungetoa njia za kupata mitaji kwa vijana(hasa wanaotoka ktk familia masikini) ingekuwa poa kuliko hizi kauli za kisiasa.
Kama Kuna Kipindi Ambacho Ww Msomi Unatakiwa Kujifunza Kutengeneza Kipato Huru Kwa Kujiajiri Basi Muda Ndio Huu. Kama Hamtataka Badilisha Hizo Mindset Wengi Wenu Mtashinda Jamii Forum Kutukana Viongozi Kwa Miaka Mingi Na Mtachobadilisha Ni Status Za Umember Tu Hapa JF Na Si Zaidi . Mh Rais Nampongeza Kwa Jitihada Zake Za Kutuwekea Mazingira Mazuri Wajasiriamali Kuoparate, Mafaini, Rushwa Na Makodi Yasiyokuwa Na Tija Kayaondoa Sasa Tunalipa Kodi Stahiki, Soko Tunaliona, Malighafi Zimepungua Bei Hakuna Wenye Mahela Ya Ovyo Yaliyokuwa Yanaongeza Bei, Usalama Wa Mali Zetu Umeongezeka, Nyumba Za Wageni Tunazolala On Business Trip Sasa Ni Nafuu, Hata Huko Mabenki Tunakohifadhi Mitaji Yetu Midogo Tunapewa Huduma Nzuri Kulinganisha Na Kipindi Kile Cha Mahela Mengi Yasiyokuwa Na Tija. Sasa Ww Endelea Kusubir Hizo Ajira 200 Za Serikali, Mnaozitaka Mpo Zaidi Ya Mil 10. Sisi Tunaendelea Kukomaa Siku Mkizipata Hizo Ajira Si Tutakuwa Na Viwanda. Tutawakaribisha Kuja Kufanya Study Tour, Hili Mtukosoe Kama Kawaida Yenu.
 
Mabenki yashatoa tahadhari ya kutoa mikopo sasa mtu akajiajiri kwa staili gani? Wengine wanatafuta ajira ili japo wakipata mkopo wa ajira au wakidunduliza mshahara ndo wajiajiri,we kijana wa Lumumba wacha kuota kwa sauti serikali yako imeshindwa japo kujenga kiwanda cha kutengeneza pampasi mpaka sasa alafu wewe ndo ujenge kiwanda?
 
Tatzo siku hiz kila MTU ni msemaji na mshauri ila hakna anaetoa njia sahihi ya vijana ni namna gani wapate mitaji,

Unapomwagza kjna ajiajir unajua kama kujiajir inahtaj mtaj? Kijana ametoka chuon na kasoma kwa mkopo atakuja apate wapi mtaji kujiajir?

Hili ni janga la taifa, hakna asietaka kujiajir ila mitaji ndo tatzo, siku nyingne mkitoa mawazo kama haya wape vjana mitaji hata kwa mkopo uone kama hawatajiajir!

Sio mnaagza vjana kujiajir wakat ndo wametoka chuon, kama huwez kumsaidia bora waachen vjana wapitie huu wakat mgumu na badae watapata njia sahihi,

Ifike muda siasa mfanye majumbani mwenu!
 
Kama Kuna Kipindi Ambacho Ww Msomi Unatakiwa Kujifunza Kutengeneza Kipato Huru Kwa Kujiajiri Basi Muda Ndio Huu. Kama Hamtataka Badilisha Hizo Mindset Wengi Wenu Mtashinda Jamii Forum Kutukana Viongozi Kwa Miaka Mingi Na Mtachobadilisha Ni Status Za Umember Tu Hapa JF Na Si Zaidi . Mh Rais Nampongeza Kwa Jitihada Zake Za Kutuwekea Mazingira Mazuri Wajasiriamali Kuoparate, Mafaini, Rushwa Na Makodi Yasiyokuwa Na Tija Kayaondoa Sasa Tunalipa Kodi Stahiki, Soko Tunaliona, Malighafi Zimepungua Bei Hakuna Wenye Mahela Ya Ovyo Yaliyokuwa Yanaongeza Bei, Usalama Wa Mali Zetu Umeongezeka, Nyumba Za Wageni Tunazolala On Business Trip Sasa Ni Nafuu, Hata Huko Mabenki Tunakohifadhi Mitaji Yetu Midogo Tunapewa Huduma Nzuri Kulinganisha Na Kipindi Kile Cha Mahela Mengi Yasiyokuwa Na Tija. Sasa Ww Endelea Kusubir Hizo Ajira 200 Za Serikali, Mnaozitaka Mpo Zaidi Ya Mil 10. Sisi Tunaendelea Kukomaa Siku Mkizipata Hizo Ajira Si Tutakuwa Na Viwanda. Tutawakaribisha Kuja Kufanya Study Tour, Hili Mtukosoe Kama Kawaida Yenu.
Mbona nyinyi viongozi cc ndio tumewaajiri nikisikia mwanasiasa anasema tujiajiri wakati yeye alipiga magoti na push up...kutuomba ajira tukamwajiri

Tumewaajiri mtutumikie sio mtuoneee kauli zenu zinaitaji busara sana kwa wananchi

Ajira ngumu Tz wewe profesa na dr unaenda bungeni wakati taluma yako inabidi iwe katika uzalishaji ubunge tuwachie watu watokao katika maeneo yao
 
Back
Top Bottom