Recent content by Drummer_Kid

  1. D

    Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

    Ukiachana na matusi yake.....the lady is so smart upstairs na anajua kuyapangilia madude yake, hiyo ipo wazi. I think we need more MANGES hata humu jukwaani....... Tumpe credit zake pale anapostahili.
  2. D

    I want to marry Sasha Obama seriously

    Mhhh!!! Hili jipu hili.....Nahisi huyu ni mwanachama wa CHAWAPUTA kashachoka kutumia picha ya Sasha sasa anatamani aanze kufanya Mubashara. OBAMA ATAKUMALIZA WEWE!!!! Bora tu uendelee kujifungia bafuni na hiyo picha yake.
  3. D

    Madaraka ya Kulevya: Kundi la Weusi wamemuimba nani?

    Mi nawashangaa sana hawa jamaa bhana.....WAMEINGIWA HOFU GHAFLA...Eti nyimbo YETU isitafsiriwe vibaya...ha haaahaaa!!!......WEUSI UTETEZI WENU UMESHACHELEWA BHANA....HADHIRA YENU IMEAMUA HIVYO, Kwani nyie mliwatungia akina nani???........ Nafahamu fika kuwa Utunzi wa kazi yoyote ya fasihi hubaki...
  4. D

    Maajabu: Rais Juzi - Mimi sipangiwi cha kufanya. Leo - Nyie kwanini mnamwandika yule mnaniacha mimi?

    Kumuunga au kutomuunga Raisi mkono siyo jambo la kulazimishwa hata kidogo......endapo Raisi na wasaidizi wake wakisimamia na kufanya mambo yanayoakisi mahitaji halisi ya Wananchi, hakuna atakayewapinga tu hovyohovyo.....mimi nadhani RAISI ANAJIPINGA MWENYEWE na kujitukanisha kwa wananchi wake...
  5. D

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Etii kumuudhi......Khaaa!! Kwani sisi tunapangiwa cha kuposti? Kwanza bando watu tumeamua kununua wenyewe, Jf tukajiunga wenyewe, kwa hiyo hata asitushinikize kupost yanayompendeza yeye!! Kama anakereka mwambie tu apasuke maana hakuna namna....na kwa bahati mbaya hakuna mwananchi anayesuburi...
  6. D

    USINIPANGIE: Asante sana Baghdad

    Nahisi Roma bado anausoma upepo mkuu......Huyu wa leo tofauti sana na wale wengine!!! HAPANGIWI aiseee
  7. D

    USINIPANGIE: Asante sana Baghdad

    MASHAIRI YAKO HIVI........(Unaweza kurekebisha though)........ Wanasiasa Bungeni wengine ni……yooh….yooh! tu Haters wakikosa cha kuongea nao ni……. yooh….yooh! tu Mwalimu wa madada zenu naye ana…… yooh….yooh! tu Kumbe hata nchi haiendelei utasainia clock…..switch flow na-make doo Usinipangie...
  8. D

    Ugeni: Naomba muongozo wenu wataalam

    Habari za wakati huu wakuu!! Nimekuwa nikifuatilia Jamii forums kwa muda sasa lakini mara zote nikiwa kama guest user.....siku za karibuni nilikata shauri na kuamua kujiunga kama mwanachama rasmi wa mtandao huu pendwa........Naomba mnipokee!!
Back
Top Bottom